RC Morogoro: Marufuku kuuza mahindi mabichi

Kwahiyo siku ukiibiwa simu watu wapigwe marufuku kuwa na simu?
Mkuu unaongea kirahisi tu vile ujui ukubwa wa tatizo......

Wauza maindi wengi wanauxiwa maind ya deal, na wengi ni wezi na wengineo wanauza maindi yao sababu waibiwa....

Hivi unajua indi moja linauzwa shi ngap shambani?
 
Siwamelima wao, kwan serikali Ina shamba???
 
kwahiyo anataka watu wote wale bisi ?
View attachment 530369
kama hataki mahaindi ya kuchoma.
View attachment 530368

images
IMG-20160321-WA0045.jpg
Hataki boboro
 
Back
Top Bottom