RC mkoa wa Dar Paul Makonda, ni kama maji

mwa 4

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
3,390
Reaction score
755
Kwa mda mrefu sasa mkuu wa mkoa wa dar mh paul makonda amekuwa ni kiongozi hodari na mwenye uthubutu wa hali ya juu, tangu ameingia madarakani makonda amefanya mambo makubwa katika mkoa wake ikiwa ni pamoja na kuwaunganisha wadau mbalimbali na kufanikisha kuanza ujenzi wa jengo la makao makuu ya waislamu (BAKWATA)ambalo litakuwa bora kabisa ukilinganisha na lile la awali.

Paul makonda kwa upande wa afya amefanikiwa kuanzisha mkakati wa ujenzi wa majengo ambayo yatatumika kujifungulia akinamama kwa wilaya za Temeke,ILala na Kinondoni wodi hizo ambazo ujenzi wake umezinduliwa jana na makamu wa Rais mama samia suruhu hasani zitakuwa ni wodi za kisasa zenye kubebe wajawazito wengi kwa wakati mmoja.

Lakini pia mh makonda amemudu kusimamia vema suala la usafi kwa mkoa wa dar mpaka sasa hali ya jiji la dar kwa upande wa usafi unatia matumaini kwa kiwango kikubwa.

Mbali na hilo pia mh RC amemudu kusimamia mambo mengi yakiwemo ya udokozi wa pesa za umama,kupambana na watumishi wazembe na wezi pamoja ja kupambana na vitendo vya kiharifu akiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Dar,Imefika wakati nimeshawishika na kukubali kuwa sasa Paul makonda sasa ni sawa na maji usipoyanywa unaweza hata kuyanawa na usiponawa lazima hata utayatumia kwa kuoga huo ndiyo ukweli kama hutaki unaacha.
 
BAVICHA MNASEMAJE
 
Hivi ile gari aliyoahidi kwa matangazo kibao kwenye tv, alikwisha toa? au ilikua ahadi hewa
 
Sijui kwa nini kila huyu jamaa akitajwa namkumbuka waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Sinde Warioba na katiba pendekezwa !!!!!!!!!
WOTE WAMEZALIWA NA BABA MMOJA, NA KWAO NI PALE LUMUMBA.....UKIWAANGALIA HATA SURA WANAFANANA.
 
Vipi kuhusu waalimu kusafiri bure? Nadhani sasa ingekuwa mwafaka kabisa walimu wawe wanapewa kadi za mwendokasi angalao za sh 8000 kwa wiki. Hii utaufanya ule mpango wake wa kusafirisha waalimu bure uende na wakati
 
kuitwa kushiriki ufunguzi wa jengo ni sawa na kufanikisha ujenzi wa jengo? mtu binafsi aliguswa kujenga ile ward baada ya kushuhudhia msongamano wa wagonjwa kwenye wodi wa wajawazito na watoto. hakuombwa na yoyote kujenga ile wodi.
 
Chickendroppings....
Uelewa wako wa mambo bado ni finyu sana, endelea ku LIKE au kusoma thread za maGT.
 
Sijui kwa nini kila huyu jamaa akitajwa namkumbuka waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Sinde Warioba na katiba pendekezwa !!!!!!!!!
Tehe, tehe, tehe, tehe... [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] hakunipiga bhana, alikuwa akiniamulizia....no... Alinigombelezea tu.
 
Vipi kuhusu waalimu kusafiri bure? Nadhani sasa ingekuwa mwafaka kabisa walimu wawe wanapewa kadi za mwendokasi angalao za sh 8000 kwa wiki. Hii utaufanya ule mpango wake wa kusafirisha waalimu bure uende na wakati
wee u dart wamesema hawataki
walimu
polisi
wanajeshi
nk
hakuna kupanda buru
 
Makonda ameliweza hili jiji Makonda sio mtu wa mchezo mchezo anawanyoosha tu viva Makonda
 
Dogo yupo vizuri sana anawashinda mawaziri.
 
Back
Top Bottom