RC mkoa wa Dar Paul Makonda, ni kama maji

RC mkoa wa Dar Paul Makonda, ni kama maji

Vipi kuhusu waalimu kusafiri bure? Nadhani sasa ingekuwa mwafaka kabisa walimu wawe wanapewa kadi za mwendokasi angalao za sh 8000 kwa wiki. Hii utaufanya ule mpango wake wa kusafirisha waalimu bure uende na wakati


mmmhh kwa hilo ni ngumu ila kwa mabasi ya wenzie rahisi
 
Kuwaongoza viumbe wa dar wala sio shida, maana ukiwatajia scorpion tu wanaufyata.... Njoo mikoani sasa, ukutane na waelewa wenye nguvu na wasiokubali kushindwa.
Mkuu kwanini huko mikoani hamtaki kushindwa wakati mashindano yoyote lazima yapate mshindi huo utakuwa ubishi siyo ushindani.
 
Na wakristu wakitaka hiyo assistance watapata?Tusiweke udini kwenye mambo ya Taifa yatatugharimu
Mimi sioni kama aliweka udini maana hakuchukua pesa ya serikali kujenga ofisi za bakwata bali kawaunganisha wadau wametoa pesa za kujenga lakini pia kumbuka makondo ni mkirstu kwahiyo hakuna upendeleo wa aina yoyote.
 
Kuna mwingine arusha kila aendapo ni msafara na vingora mpaka kwenye nanii msafaraa!!!!
 
Pamoja na kumsifu kote,mimi bado,aje mbagala,kina mama wanapanga biashara stendi barabarani,
 
Tumwambie matatizo makubwa ya dar naye aangaike nayo,
-maji yamekuwa tatizo lamuda mrefu.
-uchafu hasa kwenye masoko,vyoo haviingiliki.
-utaratibu mzuri kwa wamachinga na Mama lishe.
-idadi ya wanafunzi katika darasa na haki za walimu kutimilizwa.
mengine yapo juu ya uwezo wake so walau ahangaike nahayo kwanza
 
Respect Sana kwa Mh@paulmakonda to be honest namkubali Sana kwa moyo wake wa kutumikia watanzani
 
Hivi hawa wawili bado wameshibana?

makonda2-jpg.416878

​
 
Sijui kwa nini kila huyu jamaa akitajwa namkumbuka waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Sinde Warioba na katiba pendekezwa !!!!!!!!!
Nakukumbusha. Ni hivi: Tanzania ina wagonjwa wa akili 400,000+ kwa mujibu wa Media jana.
 
Sijui kwa nini kila huyu jamaa akitajwa namkumbuka waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Sinde Warioba na katiba pendekezwa !!!!!!!!!
[emoji109] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom