Ni kweli kabisa Kijana anachapa kazi!Kwa mda mrefu sasa mkuu wa mkoa wa dar mh paul makonda amekuwa ni kiongozi hodari na mwenye uthubutu wa hali ya juu, tangu ameingia madarakani makonda amefanya mambo makubwa katika mkoa wake ikiwa ni pamoja na kuwaunganisha wadau mbalimbali na kufanikisha kuanza ujenzi wa jengo la makao makuu ya waislamu (BAKWATA)ambalo litakuwa bora kabisa ukilinganisha na lile la awali.
Paul makonda kwa upande wa afya amefanikiwa kuanzisha mkakati wa ujenzi wa majengo ambayo yatatumika kujifungulia akinamama kwa wilaya za Temeke,ILala na Kinondoni wodi hizo ambazo ujenzi wake umezinduliwa jana na makamu wa Rais mama samia suruhu hasani zitakuwa ni wodi za kisasa zenye kubebe wajawazito wengi kwa wakati mmoja.
Lakini pia mh makonda amemudu kusimamia vema suala la usafi kwa mkoa wa dar mpaka sasa hali ya jiji la dar kwa upande wa usafi unatia matumaini kwa kiwango kikubwa.
Mbali na hilo pia mh RC amemudu kusimamia mambo mengi yakiwemo ya udokozi wa pesa za umama,kupambana na watumishi wazembe na wezi pamoja ja kupambana na vitendo vya kiharifu akiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Dar,Imefika wakati nimeshawishika na kukubali kuwa sasa Paul makonda sasa ni sawa na maji usipoyanywa unaweza hata kuyanawa na usiponawa lazima hata utayatumia kwa kuoga huo ndiyo ukweli kama hutaki unaacha.
Sielewi hapa. Ni mmoja wao anajipendekeza kwa kujidhalilisha au mwingine ni tahira hawezi kufunga kamba za viatu vyake mwenyewe?Hivi hawa wawili bado wameshibana?
![]()
Wasukuma mna shida sana we mtu uko mkoani unazungumzia ya Dar ya nini?Kwa mda mrefu sasa mkuu wa mkoa wa dar mh paul makonda amekuwa ni kiongozi hodari na mwenye uthubutu wa hali ya juu, tangu ameingia madarakani makonda amefanya mambo makubwa katika mkoa wake ikiwa ni pamoja na kuwaunganisha wadau mbalimbali na kufanikisha kuanza ujenzi wa jengo la makao makuu ya waislamu (BAKWATA)ambalo litakuwa bora kabisa ukilinganisha na lile la awali.
Paul makonda kwa upande wa afya amefanikiwa kuanzisha mkakati wa ujenzi wa majengo ambayo yatatumika kujifungulia akinamama kwa wilaya za Temeke,ILala na Kinondoni wodi hizo ambazo ujenzi wake umezinduliwa jana na makamu wa Rais mama samia suruhu hasani zitakuwa ni wodi za kisasa zenye kubebe wajawazito wengi kwa wakati mmoja.
Lakini pia mh makonda amemudu kusimamia vema suala la usafi kwa mkoa wa dar mpaka sasa hali ya jiji la dar kwa upande wa usafi unatia matumaini kwa kiwango kikubwa.
Mbali na hilo pia mh RC amemudu kusimamia mambo mengi yakiwemo ya udokozi wa pesa za umama,kupambana na watumishi wazembe na wezi pamoja ja kupambana na vitendo vya kiharifu akiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Dar,Imefika wakati nimeshawishika na kukubali kuwa sasa Paul makonda sasa ni sawa na maji usipoyanywa unaweza hata kuyanawa na usiponawa lazima hata utayatumia kwa kuoga huo ndiyo ukweli kama hutaki unaacha.
Moja wewenasikia dar inaongoza kuwa na vichaa wengi