RC mkoa wa Dar Paul Makonda, ni kama maji

RC mkoa wa Dar Paul Makonda, ni kama maji

Makonda ameliweza hili jiji Makonda sio mtu wa mchezo mchezo anawanyoosha tu viva Makonda
Kifupi makonda anajitahidi sana mji kauweka sawa kwa umri wake na kazi anazofanya lazima apewe heko.
 
Atoe ahadi ya Gari aliyoahidi kipindi cha kampeni yake ya usafi asilete Usanii
 
Makonda ni uwakilishi sahihi wa vijana walio ndani ya CCM. Hajatuangusha tangu ateuliwe kuwa DC na hatimaye RC
 
Nashauri Makonda apelekwe shinyanga kutokana na kazi yake nzuri anayoifanya ili kwenda kudhibiti mauaji ya albino na vikongwe
 
Makonda ni uwakilishi sahihi wa vijana walio ndani ya CCM. Hajatuangusha tangu ateuliwe kuwa DC na hatimaye RC
.Vita ya mashoga kashindwa
.kupaka rangi jiji kashindwa
.sensa ya watu kashindwa nk
 
vz_eliquid_simply_shisha.jpg
raaha ndani ya roho.
 
Amejitahidi maana kuwaongoza wanadamu sio jambo dogo, hasa wanaume na wanawake wa dar.
Kuwaongoza viumbe wa dar wala sio shida, maana ukiwatajia scorpion tu wanaufyata.... Njoo mikoani sasa, ukutane na waelewa wenye nguvu na wasiokubali kushindwa.
 
Mheshimiwa Makonda Nakuomba sana usimamie suala la Kuwa na stendi ya Kusafiri mkoani yenye Hadhi ya jiji~
Kwa Mawazo yangu ilipo stendi ya sasa ndio sehemu Muhafaka kwani tunaweza Unganisha Train ya mwakiembe; Usafiri wa mwendo Kasi Na stand ya simu 2000! Hakuna kitu kilicho bora kama hiki!! Simamie wana dar Tutakukumbuka!! Kuondoka kwa mabasi pale kwenda Mikoani hakusababishi Foleni yoyote!! Pia kuna mpango wa fly over utaboresha pia hii stand kwa mabasi kutoka bila kusubiri ubungo junction,
Nakumbuka mwanzo kulikuwa na wazo la stand ya muda maeneo ya chuo kikuu au Hata simu 2000, Nadhan hili wazo ni bora likasimamiwa na Tukapata Hub stand!! Kunaweza kuwepo nyingine kama Mbezi, Bunju na Mbagala ila hapa ubungo ikawa Central Bus Hub!! Pia kukajengwa barabara kulink stand ya simu 2000!! Wasafiri wa mikoani wanateseka sana mheshimiwa katika jiji lako!! Mkopo wa world Bank upo tayari
 
Kwa mda mrefu sasa mkuu wa mkoa wa dar mh paul makonda amekuwa ni kiongozi hodari na mwenye uthubutu wa hali ya juu, tangu ameingia madarakani makonda amefanya mambo makubwa katika mkoa wake ikiwa ni pamoja na kuwaunganisha wadau mbalimbali na kufanikisha kuanza ujenzi wa jengo la makao makuu ya waislamu (BAKWATA)ambalo litakuwa bora kabisa ukilinganisha na lile la awali.

Paul makonda kwa upande wa afya amefanikiwa kuanzisha mkakati wa ujenzi wa majengo ambayo yatatumika kujifungulia akinamama kwa wilaya za Temeke,ILala na Kinondoni wodi hizo ambazo ujenzi wake umezinduliwa jana na makamu wa Rais mama samia suruhu hasani zitakuwa ni wodi za kisasa zenye kubebe wajawazito wengi kwa wakati mmoja.

Lakini pia mh makonda amemudu kusimamia vema suala la usafi kwa mkoa wa dar mpaka sasa hali ya jiji la dar kwa upande wa usafi unatia matumaini kwa kiwango kikubwa.

Mbali na hilo pia mh RC amemudu kusimamia mambo mengi yakiwemo ya udokozi wa pesa za umama,kupambana na watumishi wazembe na wezi pamoja ja kupambana na vitendo vya kiharifu akiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Dar,Imefika wakati nimeshawishika na kukubali kuwa sasa Paul makonda sasa ni sawa na maji usipoyanywa unaweza hata kuyanawa na usiponawa lazima hata utayatumia kwa kuoga huo ndiyo ukweli kama hutaki unaacha.

Na wakristu wakitaka hiyo assistance watapata?Tusiweke udini kwenye mambo ya Taifa yatatugharimu
 
Namkubali kwa ubunifu na kupiga pressure kupeleka mambo mbele.Dodoma Capital inahitaji R.C wa aina ya Makonda kuharakisha maendeleo katika kipindi hiki cha mpito cha kuhamisha makao makuu.
 
Mheshimiwa Makonda Nakuomba sana usimamie suala la Kuwa na stendi ya Kusafiri mkoani yenye Hadhi ya jiji~
Kwa Mawazo yangu ilipo stendi ya sasa ndio sehemu Muhafaka kwani tunaweza Unganisha Train ya mwakiembe; Usafiri wa mwendo Kasi Na stand ya simu 2000! Hakuna kitu kilicho bora kama hiki!! Simamie wana dar Tutakukumbuka!! Kuondoka kwa mabasi pale kwenda Mikoani hakusababishi Foleni yoyote!! Pia kuna mpango wa fly over utaboresha pia hii stand kwa mabasi kutoka bila kusubiri ubungo junction,
Nakumbuka mwanzo kulikuwa na wazo la stand ya muda maeneo ya chuo kikuu au Hata simu 2000, Nadhan hili wazo ni bora likasimamiwa na Tukapata Hub stand!! Kunaweza kuwepo nyingine kama Mbezi, Bunju na Mbagala ila hapa ubungo ikawa Central Bus Hub!! Pia kukajengwa barabara kulink stand ya simu 2000!! Wasafiri wa mikoani wanateseka sana mheshimiwa katika jiji lako!! Mkopo wa world Bank upo tayari
stand ya walozi au?
 
Huyu mheshimiwa kama namuonaga anakula lecture Mzumbe university upanga.
 
Makonda ndiye rais ajaye , siyo mnafiki kama bavicha wengi walivyo
 
Back
Top Bottom