RC Mghwira atembelea familia ya Ndesamburo na kutoa pole

Kuna uzi naliona umemjibu mdau mmoja aliyeshauri huyu mama aende msibani, ukaishia kusema "NO WAY " haya sasa kaenda una lingine la kusema?
Sasa wewe umeona nimerudisha kauli yangu! Alafu unaleta maneno mengine! Kwa kuwa nimejifunza kitu! Sasa na wewe je? Na ndiyo maana nikaweka Mola nihurumie! Yamakagashi vipi?
 
Acha ukali, akiba ya maneno haiozi
 
Kaanza kumchukiza mkuu. Maana hapend kabxa hzo mambo za kuchangamana na cdm
 
Sio ukali ndugu yangu ni kueleweshana tu jamani duh! Ni kweli akiba ya maneno haiozi!

Siku mkija kujua hawa watawala wanatugawa ili waendelee kufaidi KEKI ya TAIFA ndipo mtajua ni kwa namna gani mlipotoka.

ISIS Umoja wetu kama TAIFA ndiyo nguvu yetu.Leo tunapiga makofi baada ya serikali kurudisha tena yale magari ya kifahari VX 8,tulipiga makofi 2015 waliposema wameyafuta hayatatumika tena.Na leo tunapiga makofi tena baada ya kuambiwa PRADO haziwafai watawala maana watakufa kwa ajali,hivi kabla ya VX 8 PRADO ngapi ziliua hata waziri??

Mkuu ni wakati tuache kutukanana turudi kuwa wamoja,umoja wetu maendeleo yetu.
 
Kwanini upinzani hasa viongozi wasijitofautishe na CCM kwa kuanza kuyakataa na kutembelea gari za kawaida ili CCM waone aibu.......kiongozi wa kambi rasimi ya upinzani bungeni aoneshe mfano tuone utofauti.....only tz!
 
Kuhani msiba ni kawaida ya waafirika wastaarabu, ingawaje mwingine alisusa baada ya kutopewa hadhi ya juu kwenye kamati ya mazishi. Kwa hili Mghwira umewin.
 
Back
Top Bottom