RC Mboni Mhita: Rais Samia ametupatia TZS155.24bn kwaajili ya kuboresha Elimu mkoa wa Shinyanga kwa kipindi chake cha miaka minne

Mwanahabari Huria

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
297
Reaction score
172

View: https://youtu.be/lSwXl5hBJ7o?si=vbfT9DfFtaDA19Jj

Kupitia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Mkoa wa Shinyanga umepokea TZS bilioni 155.24 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya elimu na kuongeza walimu wa shule za msingi, sekondari na vyuo vya kati. Mafanikio haya yameongeza uandikishaji, ufaulu, na kupunguza umbali wa wanafunzi kufuata huduma ya elimu.

Jina la MradiMwaka 2020Mwaka 2025Ongezeko
Shule za Msingi68271129
Shule za Sekondari18620014
Vyumba vya Madarasa (Msingi)4,9405,886946
Vyumba vya Madarasa (Sekondari)1,5832,8651,282
Madawati104,581140,50035,919
Viti na Meza63,024101,81338,789
Vyumba vya Maabara220338118
Mabweni7813153
Maktaba93122
Nyumba za Walimu1,6171,826209
Idadi ya Walimu6,4127,6271,215
Vyuo vya Kati132

Miradi ya Elimu Kupitia taasi ya uwajibakaji kwa jamii CSR (2021–2025)

Aina ya MradiMaelezo
Madarasa ya Msingi43 yamejengwa
Madarasa ya Sekondari58 yamejengwa
Viti na Meza (Sekondari)4,813 zimetengenezwa
Chuo cha Ufundi Stadi (VETA)Chuo cha VETA Bugarama kimejengwa
 
Hivi bado mama yenu ana miaka minne madarakani? Semeni ukweli bana
 
Madarasa 43 ya matofali ya udongo, mbona hamjaweka matobo ya vyoo (Hadi karne hii mnajisifia kuwa na mashimo ya vyoo) Nchi zingine miaka 70 iliyopita walishasahau, Hayo madarasa tuonyesheni. Kujenga madarasa ni jukumu lenu, sasa ninyi kazi yenu ni nini? Mkiona mnahitaji madarasa zaidi mnatakiwa mjenge, hizo ndizo kazi tulizowatuma siyo kumsifia tu huyu mnayemsifia kwa vitu vidogo vidogo.......Kwani hamjui kuwa mlikuwa mnahitaji madarasa? Mpaka huyo Samia awaambie? Waafrika akili zetu zina shida, mlisubiri nini hadi watoto wakose madarasa? halafu ninyi mapimbi mnaongelea kupitia kwenye tumbo zenu (vitambi vyenu, wote wanaume na wanawake....mmejaa rushwa hadi kwenye kope)
 
TATIZO LAKO NAONA NI WIVU TU
 
View: https://youtu.be/lSwXl5hBJ7o?si=vbfT9DfFtaDA19Jj

Kupitia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Mkoa wa Shinyanga umepokea TZS bilioni 155.24 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya elimu na kuongeza walimu wa shule za msingi, sekondari na vyuo vya kati. Mafanikio haya yameongeza uandikishaji, ufaulu, na kupunguza umbali wa wanafunzi kufuata huduma ya elimu.

Jina la MradiMwaka 2020Mwaka 2025Ongezeko
Shule za Msingi68271129
Shule za Sekondari18620014
Vyumba vya Madarasa (Msingi)4,9405,886946
Vyumba vya Madarasa (Sekondari)1,5832,8651,282
Madawati104,581140,50035,919
Viti na Meza63,024101,81338,789
Vyumba vya Maabara220338118
Mabweni7813153
Maktaba93122
Nyumba za Walimu1,6171,826209
Idadi ya Walimu6,4127,6271,215
Vyuo vya Kati132

Miradi ya Elimu Kupitia taasi ya uwajibakaji kwa jamii CSR (2021–2025)

Aina ya MradiMaelezo
Madarasa ya Msingi43 yamejengwa
Madarasa ya Sekondari58 yamejengwa
Viti na Meza (Sekondari)4,813 zimetengenezwa
Chuo cha Ufundi Stadi (VETA)Chuo cha VETA Bugarama kimejengwa

Hongera
 
Safi sana
 
Back
Top Bottom