RC Mbeya utuombe radhi wana Mbeya

RC Mbeya utuombe radhi wana Mbeya

Sijui alitumia vigezo gani au utafiti upi?
susp.png
 
Kama yakuongea hamna bora angekaa tu kimya ,
 
Haiwezekani kiongozi wa serikali awe msemaji wa anao waongoza.

Lini sisi wana Mbeya tumewahi kuketi na wewe tukakuambia kuwa hatuna malalamiko na maumivu ya tozo??

"Waliyopo hapa Mbeya,hili swala la malalamiko ya Tozo huku hakuna. Sisi tunahangaika kuhakikisha huduma za afya zinainarika kwa kuchangia sisi wenyewe Watanzania"

Hii ni kufuru na dharau kubwa Sana kwa wana Mbeya.

View attachment 2352836
Kama Mhe. Mkuu wa Mkoa ambaye ana taarifa nyingi za mkoa kakosea, basi wewe umekosea zaidi na hadi kwenda OP ndugu yangu@Mmawia, maana hata wewe umezungumzia wana Mbeya badala ya kusema, "Mimi". #Nchi itajengwa na mwananchi. 🙏🙏🙏
 
Kama Mhe. Mkuu wa Mkoa ambaye ana taarifa nyingi za mkoa kakosea, basi wewe umekosea zaidi na hadi kwenda OP ndugu yangu@Mmawia, maana hata wewe umezungumzia wana Mbeya badala ya kusema, "Mimi". #Nchi itajengwa na mwananchi. [emoji120][emoji120][emoji120]
Ni ujinga sana kudhani RC anaweza kuwa na taarifa nyingi za mkoa kwa vile tu Polisi wanampigia salute
 
Haiwezekani kiongozi wa serikali awe msemaji wa anao waongoza.

Lini sisi wana Mbeya tumewahi kuketi na wewe tukakuambia kuwa hatuna malalamiko na maumivu ya tozo??

"Waliyopo hapa Mbeya,hili swala la malalamiko ya Tozo huku hakuna. Sisi tunahangaika kuhakikisha huduma za afya zinainarika kwa kuchangia sisi wenyewe Watanzania"

Hii ni kufuru na dharau kubwa Sana kwa wana Mbeya.

View attachment 2352836
Tangu lini muhutu intarahamwe akawa mtu wa mbeya
 
upumbavu ni hatari katika taifa kiongozi anaenda kwenye media nakusema uongo kuwa wananchi wamekubali ujinga wa tozo anafikri watu hawajasoma niwakuongozwa kama ngo'mbe ifikie hatua mnaona aibu nikiwa raisi kiongozi kama huyu namfuta kazi maramoja maana najuwa hata mimi anaweza kunipumbaza kwakunisifia ujinga
 
Back
Top Bottom