Na baada ya kupongezana,unajua kafanyiwa nini?machinga hadi kwenye barabara ya mwendokasi. Makonda aliwatoa wamachinga kasafisha mji kila kona na kupanda miti, sasa jamaa alipokuja ndo kamkatisha tamaa kabisa na hata simu kushnei kabisa.Mbona alikuwa anampigia simu na kumpongeza hadharani huku Makonda aliweka loud ili na wananchi wasikie kuliko tena?
Si angeenda sumbawanga tu.Toka afunge ndoa Miaka 6 sasa hajapata mtoto.
Dah! hivi hiyo avatar ni wewe kweli!ee mungu anajua kuumba.Mungu wa dar
Ahaaa anamuwakilisha!yupo US kushuhudia mubashara kuapishwa kwa Donald Trump..
MOLA ambariki ampe haja ya moyo wake. ..zaburi 20
Ameenda kutalii nchini Marekani