RC Makonda ndani ya Ndondo Cup Final

RC Makonda ndani ya Ndondo Cup Final

Yaani ukitafakari vizuri sana suala na muenendo wa huyu Bashite unaweza kujikuta unaelewa nchi yetu kuwa iko gizani.

Sent From Kisana Kiki Iphone
 
Mbona hiyo fainali ya Ndondo wameigeuza kama shughuli ya CCM?

Nawaona kwenye jukwaa kuu akina Dr Tulia Jackson, Daudi Bashite, Ally Hapi na Meya Ben Sitta, wote hao wakiwa ni viongozi kwa upande wa CCM pekee!

Hao CCM wanavyopenda ubaguzi, inawezekana kabisa hiyo shughuli wamefanya kuihijack....
Eeeh! baki na Utumwa wako wa Vyama hivyohivyo!
 
IMG_20170811_141056_954.JPG
 
Yanga na Mtibwa sugar wamecheza wametoka Makonda leo alikuwa KKKT Kimara njaa imeuwa watu 148 Somalia kesho ni jumatatu muwahi ukame umezidi kushika kasi Azam FC ipo nafasi ya jua sasa limekuwa kali balaa.
 
Yaani Bashite kwa kupenda promo ya media?

Hii miezi michache aliyokuwa amepigwa "ban" na media ilimnyima raha sana...
Roho ilikua inamuuma sio bure hahahahahaha
Yaan nazani sasa ivi Amani yake imerudi
 
Back
Top Bottom