RC Makonda ndani ya Ndondo Cup Final

RC Makonda ndani ya Ndondo Cup Final

Huyu jamaa anapenda kuonekana kwenye media, yaani nikikumbuka ile penalt ya jana. Hata first born wangu wa 8 yrs old hapingi penalt iliyokosa afya kama ile.
 
Unamjua Roberto Baggio?
 
Mbona hiyo fainali ya Ndondo wameigeuza kama shughuli ya CCM?

Nawaona kwenye jukwaa kuu akina Dr Tulia Jackson, Daudi Bashite, Ally Hapi na Meya Ben Sitta, wote hao wakiwa ni viongozi kwa upande wa CCM pekee!

Hao CCM wanavyopenda ubaguzi, inawezekana kabisa hiyo shughuli wamefanya kuihijack....
Kubenea na Mbunge wa Kinondoni haukuwaona??
 
Mbona hiyo fainali ya Ndondo wameigeuza kama shughuli ya CCM?

Nawaona kwenye jukwaa kuu akina Dr Tulia Jackson, Daudi Bashite, Ally Hapi na Meya Ben Sitta, wote hao wakiwa ni viongozi kwa upande wa CCM pekee!

Hao CCM wanavyopenda ubaguzi, inawezekana kabisa hiyo shughuli wamefanya kuihijack....
Chadema, NCCR walizuiwa kuhudhuria?
 
Unamjua Roberto Baggio?
Namsikiaga,alikosaga penalt kati ya Brazil na Italy,hope shoot lake halikuwa dhaifu kama la Makonda.Ngoja nikacheki youtube kama video ya jinsi alivyokosa penalt ipo.
 
jingalao nimetoka kuangalia penalt ya Baggio aliokosa,shoot lake halikuwa dhaifu kama la Makonda.Baggio alipiga shoot lenye afya sema alipaisha.Ni matusi kumlinganisha Baggio na Bashite.
 
Hii ni ishara njema sana katika kuondokana na lile bifu.Naamini yaliyopita si ndwele tugange yaliyopo na yajayo.

Vijana mkishirikiana mnaweza kuleta mabadiliko makubwa sana Dar na kitaifa.
Na Baasha wake alikuwepo aliyekula marinda
 
Namsikiaga,alikosaga penalt kati ya Brazil na Italy,hope shoot lake halikuwa dhaifu kama la Makonda.Ngoja nikacheki youtube kama video ya jinsi alivyokosa penalt ipo.
Ubora wa shoot ni kuingia...tu.kama halikuingia litakosa hadhi ya kuwa shoot bora.

Kama Baggio alikosa sio ajabu kwa Makonda kukosa.

Kama unabisha mtengee uone kama atakosea tena!
 
Makonda sio kukosa tu,jamani kashoot hakana stamina kabisa.Hata mwanangu anapiga mashoot yenye nguvu.
 
Back
Top Bottom