Dar es salaam ni mkoa mmoja ila una viongoz wengi wa ngazi tofauti za kiutawala mf DED,RC,RAS,MAYOR,MP's nk..vipi kama ikakubaliwa kuwa baadhi ya vyeo vya kisiasa vikaondoshwa alaf katika wanaondoahwa na cheo cha ukuu wa mkoa kikaondoshwa,je mtoa ushauri atajisikiaje!,
katika maisha wawe wanafikilia na wenzao sio wanajifikilia wao tuu!machungu utakayoyapata katika kuondoshwa inakuaje uombe mwenzako ayapate wakat ww mwenyewe unakesha ukiomba yasikukute!
nukuu"ukiona mfanyakaz anachukia uwepo wa wafanyakaz wenzake kwa kigezo eti ofisi ina wafanyakaz wengi hiyo ni ishara ya roho mbaya na ubinafsi"