RC Makonda atangaza neema kwa wamiliki wa viwanda vidogo, maonyesho ya bidhaa za ndani sasa kufanyika kila mwezi

Ndio maana watu wa Dar tunakuwa kama tumechanganyikiwa maana kabla hujaanza hili kuna Tamko la Bashite jipya kila siku unarudi nyumbani Tandale kuna mke mwenzie Happy wa Kinondoni nae anatoa tamko
omba razi kwa bandiko lako katika historia ya wakuu wa mikoa Tanzania kwa miongo mingi sana ajawahi kutokea wa kufanana na makonda ukiweka mbali masual ya vyeti na nini makonda ni wa kuigwa na wakuu ea mikoa waliosalia,nina imani hata we mwenyewe nikikuuliza makonda unamchukia kwa lipi wala huna jibu zaidi utasema atoe vyeti!!!! na blaa blaa nyiingi.
 
omba razi kwa bandiko lako katika historia ya wakuu wa mikoa Tanzania kwa miongo mingi sana ajawahi kutokea wa kufanana na makonda ukiweka mbali masual ya vyeti na nini makonda ni wa kuigwa na wakuu ea mikoa waliosalia,nina imani hata we mwenyewe nikikuuliza makonda unamchukia kwa lipi wala huna jibu zaidi utasema atoe vyeti!!!! na blaa blaa nyiingi.
Kwa ujinga ni kweli hakuna anayefanana naye.

Hujiulizi mpaka kituo kikaitwa "kwa makamba"
 
Mbn kwetu RC wetu yeye hafanyi press kama za huyu jamaa ni kwann au wanahabar wanapendelea?
 
Tunatofautiana kwenye uelewa na pamoja na uchanganuzi wa mambo,hujajibu hata moja nlilouliza
Mkuu wa mkoa hana budget yoyote ya kutekeleza mradi wowote wa maendeleo, kazi yake ni kuendesha vikao vya ulinzi na usalama.
Anachofanya bashite ni ujinga ujinga mtupu!
 
Na kashfa,kejeli,dharau,majungu,uzushi,wengine wakamwombea kifo na wengine wakaacha kuhubiri neno la Mungu na kuanza kumjadili huyu mtu muhimu kwa nchi hii,hajawahi kugive up!!!! Stay blessed brother

Nayasema haya, yote kuonyesha kukubali uwezo mkubwa wa ndugu Makonda kiakili na jinsi anavyothihirisha uwezo wake kushughulikia changamoto za wanadar.

Watumishi wameweza kutengenezewa unafuu kumiliki nyumba zao kwa kuuziwa viwanja vilivyopimwa,tena very cheap!...watu kupatiwa vipimo vya afya zao bure,wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda vidogo kupewa mikopo kwa riba nafuu. Hakika hajawahi kutokea kama huyu mwanaume jembe mkoa wa Dar.!!

Again stay blessed my brother na wengine waige haya,na ikiwezekana mheshimiwa raisi akupatie wizara flan muhimu uisimamie maana una uwezo kaka
Mkuu sisi wenye akili kubwa tulishamuelewa kitambo ndugu Bashite. Kabla hajakamilisha aliloanzisha anaibuka na lingine yani mkoa na wataalamu wake ni full kuchanganyikiwa tu. Bashite hakuna misheni aliyoanzisha akafanikia Zirobrain
 
Back
Top Bottom