=>Serikali ya rais Magufuli inahimiza viwanda.
=>Sisi wasaidizi wake tunahangaika kuhakikisha viwanda vinapatikana ktk mikoa yetu.
=>Kwenye viwanda vikubwa tunaendelea vizuri, vya kati tunaendelea ila vidogo bado hatujafanya vizuri.
=>Tumeona ni vema tuongeze kazi na nguvu kuongeza nguvu kwa wamiliki wa viwanda vidogovidogo.
=>Wenye viwanda vidogo wanahitaji kuongeza
=>Nimeongea na mkurugenzi wa NSSF na nimempa maombi NSSF iwekeze kwenye viwanda.
=>Nawatangazia wafanyabiashara wenye viwanda vidogo kufika katika ofisi ya NSSF ili kueleza kiwango cha mtaji na kaisi cha mtaji unachohitaji.
=>Naelekeza manispaa zote tuna 10% kila manispa akina mama, vijana na walemavu na kwa mkoa huu tuna fedha isiyopungua bilioni 6, hizi zitolewe kwa wenye viwanda vidogo.
=>Machinga waanze kuuza bidhaa zinazozalishwa na wenye viwanda vidogovidogo.
=>Tuna mpango wa kuazisha soko la maonyesho ya bidhaa kwa wenye viwanda vidogo vidogo kwa mwezi mara moja na maonyesho yatafanyika Mnazi mmoja.