RC Makonda afanya sherehe nyumbani kwake, Wasafi wagawa chakula kwa waalikwa

sherehe ikawa ni ya wasanii..
jumuia za Kibohora , Mashia , Maismailia na Hindus wakabaki tu kama wasindikizaji wakati wao na hospital zao zilifanya kazi kubwa sana kusaidia upimaji wa wakaazi wa Dar
 
Ila vijana wana sumbuliwa sana na wivu..hiyo ni sherehe iliyo andaliwa na mkuu wa mkoa kwaajili ya madaktari na vyombo vya ulinzi Dares-salaam......
 
Hawa wasanii wanakubalije kuzalilishwa na form failure bashite
Si bora hata huyo alifika form 4 angalia babu tale,Said fella,Mavoko,kundi zima la wasafi hakuna aliyefika form 4 so yuko sawa kuwaongoza tu.

Elimu,elimu,elimu.
 
Si bora hata huyo alifika form 4 angalia babu tale,Said fella,Mavoko,kundi zima la wasafi hakuna aliyefika form 4 so yuko sawa kuwaongoza tu.

Elimu,elimu,elimu.
Mwisho wa Matokeo ya hiyo Elimu ni kuachieve kitu gani maishani?
 
Enzi za Mwalimu wakuu wa mikoa walikuwa sio mashoga mashoga kama sasa.
 
.....kwa miaka 10, aliyenacho ataongezewa, asiyenacho hata kile kidogo atanyang'anywa...
Ngoja nichemshe matembele na ugali nile nilale...
 
Back
Top Bottom