king gabusyo
Member
- Jul 16, 2017
- 71
- 43
Mimi nampenda sana RC Paul Makonda
Eeh,ulikua humuoni kweny show za dangote ?Le mutuz naye wcb
Shetani ! Mbona hata mzee wa siku anapiga naye stori tu,namchukiaje sasa wakati nilishamshinda kabla hata sijazaliwa.Hata shetani hauna uadui nae!!!!!
Duhhh kweli wewe ni hatari
Si bora hata huyo alifika form 4 angalia babu tale,Said fella,Mavoko,kundi zima la wasafi hakuna aliyefika form 4 so yuko sawa kuwaongoza tu.Hawa wasanii wanakubalije kuzalilishwa na form failure bashite
Mwisho wa Matokeo ya hiyo Elimu ni kuachieve kitu gani maishani?Si bora hata huyo alifika form 4 angalia babu tale,Said fella,Mavoko,kundi zima la wasafi hakuna aliyefika form 4 so yuko sawa kuwaongoza tu.
Elimu,elimu,elimu.
Who cares ita achieve nini?Mwisho wa Matokeo ya hiyo Elimu ni kuachieve kitu gani maishani?