Kuhusu hizo pesa za mkopo pointi yako ni ipi.? Kama zingekuwa za bure bc ndugu mwendazake angekuwa amekoseaToka ugonjwa uanze mapema mwaka jana Kenya wameshapokea zaidi ya dola bilioni 5, Uganda dola bilioni 1.5 na Rwanda dola 240 milioni.
Na haiwezi kufikia hatua hiyo!!ni kweli covid 19, ipo lakini kwa sasa wameshaanza kupika data ili kupata pesa za kufanyia mambo mengine, lakini kwa wananchi wengi ni kama hawana habari nayo, kwani wameishi nayo mwaka na zaidi sasa na maisha yanasonga mbele, hivyo basi hakuna haja ya kutiana hofu.Nikiangalia maisha ya DAR, hasa kwenye vyombo vya usafiri vya umma ni Mungu tuCorona bado sana Tz, labla tuone watu wakifa barabarani ndo tutakuwa serious. Sir God naomba usitunyooshe 🙏🙏🙏
Hata Samia hana muda na Corona ndo maana kwenye mechi ya simba alikuwepo, Tz hakuna mtu aliye serious na coronaNa haiwezi kufikia hatua hiyo!!ni kweli covid 19, ipo lakini kwa sasa wameshaanza kupika data ili kupata pesa za kufanyia mambo mengine, lakini kwa wananchi wengi ni kama hawana habari nayo, kwani wameishi nayo mwaka na zaidi sasa na maisha yanasonga mbele, hivyo basi hakuna haja ya kutiana hofu.Nikiangalia maisha ya DAR, hasa kwenye vyombo vya usafiri vya umma ni Mungu tu
Mama anataka kupiga watu hela ya nauli halafu asitokee ghetto.Hata Samia hana muda na Corona ndo maana kwenye mechi ya simba alikuwepo, Tz hakuna mtu aliye serious na corona
Wabongo hamna jema,ni wanafiki na muchknow sana,walimlaumu JK nchi haina Ndege,,Jpm akaja akanunua ndege,wakamlaumu sana na kumlaani,Sasa siku zote walikuwa wanaficha nini yani hadi watangaziwe pesa ndio watoe takwimu wakati ugonjwa kweli upo zaidi ya mwaka sasa na watu wanakufa...
Bado hujarudi shule? Maana likizo ishaisha, unatujazia ushuzi tu humu.Sasa siku zote walikuwa wanaficha nini yani hadi watangaziwe pesa ndio watoe takwimu wakati ugonjwa kweli upo zaidi ya mwaka sasa na watu wanakufa...
Wao watoe takwimu zao ili kuwafurahisha hao , wawape pesa ila sisi watuache na maisha yetu kama kawaida tu, tahadhari zile za kawaida ambazo wimbi la kwanza, na la pili yalivyopita na hili litapita, tusitishane tu!Hata Samia hana muda na Corona ndo maana kwenye mechi ya simba alikuwepo, Tz hakuna mtu aliye serious na corona
Akija rais dikteta tutamlaumu na kusema tunamtaka rais dhaifu. Akija dhaifu tutasema tunamtaka dikteta....Hii nchi instaka Rais dictator ndio tunaelewana vizuri...
Hivi huko duniani wanavyosema wanaruhusu kikundi cha watu kisichozidi watu 10 hv hao watu hawawezi kuambukizana corona kama mmoja wao ana huo ugonjwa.? Mambo ya kuweka lockdown ya muda fulani mpaka fulani ni ujinga mtupu bora waachiwe tuuWao watoe takwimu zao ili kuwafurahisha hao , wawape pesa ila sisi watuache na maisha yetu kama kawaida tu, tahadhari zile za kawaida ambazo wimbi la kwanza, na la pili yalivyopita na hili litapita, tusitishane tu!!kwani kwa maisha yetu haya !!hata kenya ni kama usanii tu toka asubuhi yaani wako lundo mtaani kwenye mikutano ya kisiasa eti ikifika saa tatu ndio hutakiwi kuwa nje, utafikiria giza la kuamzia saa nne, ndio lenye virus!!
Watu wanasema Magufuli alikuwa dikteta lkn mm nilikuwa namuona wa kawaida sana,Wabongo hamna jema,ni wanafiki na muchknow sana,walimlaumu JK nchi haina Ndege,,Jpm akaja akanunua ndege,wakamlaumu sana na kumlaani,
Wakamlaumu JPM eti hataki kutaja wagonjwa wa corona,amekuja SSH anataja wagonjwa tena wanalaumu..
Hii nchi instaka Rais dictator ndio tunaelewana vizuri
Magufuli wako alificha maradhi nadhani uliona matokeo yake. Hivi nyie team legacy mnawaza kwa kutumia nini?Kutangaza hiyo idadi kunasaidia Nini? Hata angesema wagonjwa wapo inatosha, maana tulishaambiwa tuzoe tu kuishi nayo kama Malaria ambavyo tunaishi nayo, na inaua wengi zaidi kuliko mafua ya wazungu...