mpaka 2020 hakika hakuna rangi tutaacha kuiona dahNi baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa,mdogo wangu na Mwanasheria mwenzangu Ally Hapi. Alikuwa akielekea kutoa amri ya kukamatwa,kuwekwa ndani,kuhojiwa na kufikishwa mahakamani kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa na Diwani wa Viti Maalum huko Iringa kwa tiketi ya CHADEMA.
Kadiri ya clip ya video niliyoitazama kwa MillardAyo,kuna Mzee mmoja alilalamika kwa RC Hapi kuwa amebomolewa nyumba yake kwa amri ya Mwenyekiti na Diwani huyo wa CHADEMA. Mlalamikaji akajitambulisha kama Mwenyekiti wa Tawi la CCM.Mwanamama mhusika alijitetea bila mafanikio. Akakamatwa na askari wa kike wa JWTZ baada ya kukosekana kwa askari wa kike wa Polisi.
Kimsingi,maneno ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida kwa Wakuu wa mikoa na wilaya nchini. Yana tija gani? Yaendelee?
Hahaha dah mkuu basi ,huwa unanifurahisha sana ,jino kwa jino sio unajifanya una busara nyingi unapotezea ujinga tu huku rohoni unaumia.Huna lolote ww ni muuza face tu huko ulipo, unadhani kuna mtu anashoboka ukisema uko nje? Ww utakuwa ni mtu mapenzi ya jinsia moja, unaongea utadhani ni mtu jasiri kumbe k@ma tu.
Semina elekezi ni muhimu kwa viongozi wetu!Ni baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa,mdogo wangu na Mwanasheria mwenzangu Ally Hapi. Alikuwa akielekea kutoa amri ya kukamatwa,kuwekwa ndani,kuhojiwa na kufikishwa mahakamani kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa na Diwani wa Viti Maalum huko Iringa kwa tiketi ya CHADEMA.
Kadiri ya clip ya video niliyoitazama kwa MillardAyo,kuna Mzee mmoja alilalamika kwa RC Hapi kuwa amebomolewa nyumba yake kwa amri ya Mwenyekiti na Diwani huyo wa CHADEMA. Mlalamikaji akajitambulisha kama Mwenyekiti wa Tawi la CCM.Mwanamama mhusika alijitetea bila mafanikio. Akakamatwa na askari wa kike wa JWTZ baada ya kukosekana kwa askari wa kike wa Polisi.
Kimsingi,maneno ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida kwa Wakuu wa mikoa na wilaya nchini. Yana tija gani? Yaendelee?
Ni vyema hawa waitwao viongozi watafute copy ya gazeti hili na kusoma hiyo story watajua hatari waliyo nayo kwa tabia walizo nazo. Ni bora likizo zao waende Simiyu Mtaka akawafundishe utawala bora ni upi na jinsi ambavyo unakuwa salama huhitaji hata mlinzi mmoja katikati ya jamiiHukufuatilia safari ya rais huko serengeti. alifanya sawa sawa kabisa na hicho alichofanya huyo RC. Naye alisikiliza upande mmoja toka kwa mwanaccm aliyemtumuhu mtendaji wa cdm kuhusu fedha za umma. Rais akaagiza palepale huyo mtendaji akamatwe na kuwekwa ndani. Hiyo tabia ni fashion kwa sasa na muasisi wake ni rais.
ivi huo mkoa si ndio wa yule mshkaji mwamwindi? Asee awe makini historia huwa inapenda kujirudia!Ni baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa,mdogo wangu na Mwanasheria mwenzangu Ally Hapi. Alikuwa akielekea kutoa amri ya kukamatwa,kuwekwa ndani,kuhojiwa na kufikishwa mahakamani kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa na Diwani wa Viti Maalum huko Iringa kwa tiketi ya CHADEMA.
Kadiri ya clip ya video niliyoitazama kwa MillardAyo,kuna Mzee mmoja alilalamika kwa RC Hapi kuwa amebomolewa nyumba yake kwa amri ya Mwenyekiti na Diwani huyo wa CHADEMA. Mlalamikaji akajitambulisha kama Mwenyekiti wa Tawi la CCM.Mwanamama mhusika alijitetea bila mafanikio. Akakamatwa na askari wa kike wa JWTZ baada ya kukosekana kwa askari wa kike wa Polisi.
Kimsingi,maneno ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida kwa Wakuu wa mikoa na wilaya nchini. Yana tija gani? Yaendelee?
Yaani mpaka jeshi siku hizi linatumika ktk mikutani ya kisiasa tukisema tunapelekwa Burundi wengine wanachekelea. Wapo wasiopenda kuona Watanzania wakiishi kwa amani tena ni viongozi wetu wakuu wa nchi. Yaani Magufuli hataki watanzania waishi kwa amani anataka tukatane mapanga kama wale ndg zake walivyouwana uko kwao BurundiNi baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa,mdogo wangu na Mwanasheria mwenzangu Ally Hapi. Alikuwa akielekea kutoa amri ya kukamatwa,kuwekwa ndani,kuhojiwa na kufikishwa mahakamani kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa na Diwani wa Viti Maalum huko Iringa kwa tiketi ya CHADEMA.
Kadiri ya clip ya video niliyoitazama kwa MillardAyo,kuna Mzee mmoja alilalamika kwa RC Hapi kuwa amebomolewa nyumba yake kwa amri ya Mwenyekiti na Diwani huyo wa CHADEMA. Mlalamikaji akajitambulisha kama Mwenyekiti wa Tawi la CCM.Mwanamama mhusika alijitetea bila mafanikio. Akakamatwa na askari wa kike wa JWTZ baada ya kukosekana kwa askari wa kike wa Polisi.
Kimsingi,maneno ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida kwa Wakuu wa mikoa na wilaya nchini. Yana tija gani? Yaendelee?
Hata hiyo unaomba ushauri?Nikirudi shule nianzie kusoma level gani?
Umetisha mama, kupishana Central?Ni mshamba wa madaraka na limbukeni. Yana mwisho tutapishana pale central wakati ukifika. Heri wao waliao sasa maana watauona Ukuu wa Mungu.
Hawa hata uwepe semina ELEKEZWA hamna kitu!Semina elekezi ni muhimu kwa viongozi wetu!
Hilo sijalisikia wala kuliona Mkuu. Kama limetokea,ni jambo la kulikemea na kulipinga hadharani. Tatizo la MaRC na MaDC wengi wanadhani kuwa wameteuliwa kwa ajili ya kupambana na kusambaratisha upinzani kwenye maeneo yao. Ni dhana isiyofaa.Petro E. Mselewa,
..mdogo wako, Mkuu wa mkoa, amewaita wapinzani WANYAMA.
..and he sounded very serious about it. And repeated the statement several times.
..sijui una maoni gani hapo.
..mimi naona hilo la kuwaita wapinzani WANYAMA ni kubwa kuliko majigambo kuwa yeye ni mtu hatari.
Hilo sijalisikia wala kuliona Mkuu. Kama limetokea,ni jambo la kulikemea na kulipinga hadharani. Tatizo la MaRC na MaDC wengi wanadhani kuwa wameteuliwa kwa ajili ya kupambana na kusambaratisha upinzani kwenye maeneo yao. Ni dhana isiyofaa.