Kurmodosla
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 330
- 202
Ubabe haujengii
Go back to school utaelewa nina maanisha niniMbona hivyo tena Mkuu? Wewe unaunga mkono kuvunjiwa nyumba? au unapinga alichosema RC? Au unapinga vyote?
Nikirudi shule nianzie kusoma level gani?Go back to school utaelewa nina maanisha nini
Udaku unawahi kuelewa
Grade 4 inawatosha ninyi wabongo mkaanze kusoma nini maana ya yafuatayoNikirudi shule nianzie kusoma level gani?
Baba wa watu walimdhihaki sana mungu anawalipa. Lakini JK alisema uongozi ukiwa wa vijana moto utawakaVipi wale waliokuwa wakimuita jk dhaifu..walikuwa wanastahili kumuita vile?? Au shida ni pale mtu anapojinasibu kama yeye hachezewi?
What if kavunjiwa Nyumba kwa mujibu wa sheria Kama wale wa kimala? Na kwanini asiende mahakamani badala yake ameenda kwa RC, na Huyo RC amejuaje Kama huyo mlalamikaji Anasema ukweli?Mbona hivyo tena Mkuu? Wewe unaunga mkono kuvunjiwa nyumba? au unapinga alichosema RC? Au unapinga vyote?
Kwanini hawajifunzi kwa DC wa Kisarawe?inasikitisha baadhi ya vijana wenzetu wanapewa nafasi za uongozi alafu wanafanya mambo ya hovyo kabisa, mwingne ni DC Jerry Muro...yaani utadhani kapagawa!.
Mkuu ungeeleza pia kuwa katika hiyo Hugo mzee kika nyumba anayokwenda kupanga huyu diwani akiwapiga mkwara wenye nyumba ili huyo mzee alale nje.Ni baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa,mdogo wangu na Mwanasheria mwenzangu Ally Hapi. Alikuwa akielekea kutoa amri ya kukamatwa,kuwekwa ndani,kuhojiwa na kufikishwa mahakamani kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa na Diwani wa Viti Maalum huko Iringa kwa tiketi ya CHADEMA.
Kadiri ya clip ya video niliyoitazama kwa MillardAyo,kuna Mzee mmoja alilalamika kwa RC Hapi kuwa amebomolewa nyumba yake kwa amri ya Mwenyekiti na Diwani huyo wa CHADEMA. Mlalamikaji akajitambulisha kama Mwenyekiti wa Tawi la CCM.Mwanamama mhusika alijitetea bila mafanikio. Akakamatwa na askari wa kike wa JWTZ baada ya kukosekana kwa askari wa kike wa Polisi.
Kimsingi,maneno ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida kwa Wakuu wa mikoa na wilaya nchini. Yana tija gani? Yaendelee?
dogo nakuomba tu jitaidi kuwa mpole mambo mengine ndio yanakera.Saa zingine use munaficha upumbavu wako kwa ustawi wa jamii yako inayokuzunguka
wamelewa madarakaNi baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa,mdogo wangu na Mwanasheria mwenzangu Ally Hapi. Alikuwa akielekea kutoa amri ya kukamatwa,kuwekwa ndani,kuhojiwa na kufikishwa mahakamani kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa na Diwani wa Viti Maalum huko Iringa kwa tiketi ya CHADEMA.
Kadiri ya clip ya video niliyoitazama kwa MillardAyo,kuna Mzee mmoja alilalamika kwa RC Hapi kuwa amebomolewa nyumba yake kwa amri ya Mwenyekiti na Diwani huyo wa CHADEMA. Mlalamikaji akajitambulisha kama Mwenyekiti wa Tawi la CCM.Mwanamama mhusika alijitetea bila mafanikio. Akakamatwa na askari wa kike wa JWTZ baada ya kukosekana kwa askari wa kike wa Polisi.
Kimsingi,maneno ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida kwa Wakuu wa mikoa na wilaya nchini. Yana tija gani? Yaendelee?
Haihitaji kwa mwanamke kusema mimi ni mwanamke. mtu hatari hajinasibu watu watajudge kuwa ni mtu hatari. mengine ni mikwara tu.