Yeye sasa ndo tunamnyoosha!Halafu huyu anadanganya umma wa Watanzania eti anainyoosha nchi! Kumbe yuko busy kusambaratisha upinzani kwa kutumia ajira za Serikalini ambazo zinatokana na kodi ya walipa kodi nchini.
Msikilizeni huyu mnafiki hapa.
ukienda mahakamani na hiyo evidence unakalishwa asubuhi kabisa. hilo ni kosa kubwa sana.Hiyo tarehe siyo ishu, ni factory setting hiyo, mwenye Camera hakuifanyia resetting!. Hata hivyo hiyo time haiathiri Contents!. Kama shauri likienda mahakamani expert opinion itaelezea resetting ya time haiwezi kuinvalidate content!
Hata digital camera usipoireset time ukipiga picha itaonyesha picha ya zamani lakini hiifanyi picha kuwa ni ya zamani!!
Tumia akili kama ulikua 2008 kweli huyo aliyerecord alikua mtabili wa kiasi gani wakujua kuaVideo ya miaka 7 iliyopita, then angalia sauti na mdomo kama vinaendana.ila kwa chadema ni wanywa viroba hawatakaa waekewe
Kwa hiyo hata ile audio ya mbowe na wema ilikuwa kweli, ww ndio utumie akili walichofanya hapo ni kuiga sauti na kuziingiza kwenye hiyo video. Kwa nn camera haimuoneshi huyo diwani usoni akiwa anaongeaTumia akili kama ulikua 2008 kweli huyo aliyerecord alikua mtabili wa kiasi gani wakujua kua
1 Magufuri utakua Raisi
2: Mnyeti utakua DC
3: Gambo utakua RC
Hebu hangaisha walau ubongo kidogo.
Usitishike na settings za camera boss.Mbona hiyo video ni kama ya 2008 au macho yangu yana kijani sana?!!
Jambo la msingi ujumbe umefika, wahusika wamesikika na wengine kutajwa kwa majina yai kamili, swala la settings za camera tupa kule!2008 gambo alikua mkuu wa mkoa?magufuli alikua rais??
kwani 2008 huyu jamaa alikuwa RC.tumia akili yako...haya ni matatizo ya camera settingMbona hiyo video ni kama ya 2008 au macho yangu yana kijani sana?!!
Lafudhi ya kimasai.Mbona sijaona sura ya Gambo kwenye hii clip? Naona MTU mmoja tu anayeandikwa kama Emmanuel Mollel, tena anaonekana kuwa na lafudhi ya kichaga!!!
Success or failure depend on how well you listen, husikilizi kinachozungumzwa unakurupuka tu.Mbona hiyo video ni kama ya 2008 au macho yangu yana kijani sana?!!
2008 Mnyeti alikuwa DC arumeru? Gambo alikuwa RC Arusha??Mbona hii video imeandikwa tarehe 09/01/2008
....Yani Gambo akiwa DC alichoma moto shule ili apandishwe cheo.
CCM mnakusudia kuuwa watoto wetu kwa moto ili kujinifaisha kisiasa.
I always suspected you are a moron,now I am sureUnafiki unafiki video ya 2008, acheni unazi. Yaani mnatengeneza video
We jamaa acha kukufuru fani ya sheria kwaiyo unataka kuniambia unapoongea uku ukiwa umevaa tisheti ya taasisi ya sherehe ya mwaka 2008 utataka kuniaminisha ndo itakua sio 2017 wakat lugha yako maongezi yako yanataja wahusiki wa miaka ya karibuniKwa kuwa huu ni ushahidi basi umeingia dosali hivyo kutakuwa na shida hata mbele za sheria kwa kuwa mtuhimiwa naweza kusema Hii ni video ya mwaka 2008 na ni ya kutunga wanaweza wao wenyewe ukawafungulia case
Niswala la setting ya tarehe kwenye camera tuu. 2008 Palikua Gambo au Lema Arusha? Tumia akili yakuzaliwa kidogo ndugu.Mbona hii video imeandikwa tarehe 09/01/2008