Kwa mtazamo wako video ilirekodiwa 2008 na watabiri ambao walijua Gambo atakuja kuwa RC Arusha?Au Mnyeti D.C Meru?Uharamu wa video kwa tarehe unaharamisha mazungumzo yaliyorekodiwa. Ushahidi mwingine unaokosekana ni kutokuwepo makabidhiano ya pesa kukamilisha suala la rushwa.
Kulingana na matamshi ya Nasari, ni kwamba ni kithibiti kisicho na mashaka, kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Inashangaza kuona kuwa wameshindwa hata kurekebisha tarehe za hiyo video.
Hivyo basi, ni sahihi mtu yeyote kukanusha uhalali wa hiyo video.
Kiushaidi wamekosea nafikili ndio maana wameamua kutopeleka takukuru wameita press conference kwa sababu ushahidi huo Una tatizoKuna vitu hata kuuliza kunaonyesha IQ ilivyo ndogo, wewe huwezi ku reason Je Wanaotajwa hapo Kama Gambo,Mnyeti,Magufuli Walikuwa na nyadhifa hizo 2008?
Hivi nawe ulinunuliwaga na Mamvi 2015?video ya kutengeneza hiyo sio original
kwa akili yako hao takukuru wangeangalia tarehe ya camera? Halafu kesi ya Nyani unategemea ngedere afanye nnKiushaidi wamekosea nafikili ndio maana wameamua kutopeleka takukuru wameita press conference kwa sababu ushahidi huo Una tatizo
Weka ya 2017Mbona hii video imeandikwa tarehe 09/01/2008
video ya kutengeneza hiyo sio original
Kwi! Kwi! Kwi!video ya kutengeneza hiyo sio original
Sasa kama aliyerekodi hiyo video alikuwa mzembe kiasi cha kutozingatia wakati, inadhihirisha jinsi alivyokuwa " hajui" anachokifanya. Hii unaweza ukaiona nyepesi kwenye jicho la kisiasa lakini mbele ya sheria ni tofauti kabisa!! Wewe huwezi kujiuliza kwanini tarehe haikutiliwa maanani au kwa IQ yako unaamini ni bahati mbaya?!! Unadhani Nassari ni mjinga kukimbilia kwa waandishi wa habari badala ya Takukuru wanakomsubiri?!! Kama nywele zimekizidi kichwa zinyoe akili ipumue!Kuna vitu hata kuuliza kunaonyesha IQ ilivyo ndogo, wewe huwezi ku reason Je Wanaotajwa hapo Kama Gambo,Mnyeti,Magufuli Walikuwa na nyadhifa hizo 2008?
TAKUKURU mnasubiri nini ?Sikiliza hii kitu.
Ujipange upya tu wasifanye makosa next timeKw
kwa akili yako hao takukuru wangeangalia tarehe ya camera? Halafu kesi ya Nyani unategemea ngedere afanye nn
Acha umburula wewe, 2008 Gambo alikuwa R.C?,Magufuli alikuwa rais?, Mnyeti alikuwa D.C? Kifaa chochote usiposet tarehe itabaki vile vile tafuteni majuha wakudanganya.Utawala uneshafitinika.
Fisadi papa lipo ufipa, jata Mnyika anajua!!CCM na rushwa ni kama uji na mgonjwa.
Hidden camera imewaweka uchi wa mnyama.