johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,952
- 141,941
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amewaomba radhi wananchi wa jiji la Arusha hususani wajasiriamali kwa kitendo cha cha halmashauri ya jiji hilo inayoongozwa na Chadema kuwatoza ushuru wa biashara.
Gambo amesema kuwa mh Rais Magufuli alishatoa mwongozo kwamba wajasiriamali wenye vitambulisho wasibughuziwe na hivyo amewapa onyo wale wote waliojaribu kwenda kinyume na mwongozo huo.
Source ITV habari!
Maendeleo hayana vyama!