RC Gambo amtimua DC Mnyeti baada ya kuchelewa kikao

Kumbe ana matatizo huyu DC mtoa rushwa
Magufuli ndiye anayesababisha matatizo haya.

Mnyeti ni mtu wa Magufuli tangu awali. Magufuli huwa anamruka Gambo kama mkuu wa mkoa na kufanya kazi na Mnyeti kama Mkuu wa Wilaya moja kwa moja kutokana na personal connection yao ya tangu enzi za kambi za kugombea urais CCM.

Sasa hapo Mnyeti anajiona. Gambo naye anaona anadharauliwa.

Hii haikuwa habari ya kuchelewa mkutanoni tu. Kulikuwa na mengi nyuma ya oazia. Mengi yanayoibuka sasa kutikana na video za rushwa.

Na kadiri yanavyoibuka mengi, ndivyo tunavyoona Magufuli anavyochochea migogoro.
 
Pia albadiri ya imeanza kujibu
 
Kumbe ! Nilijua Gambo ni kipenzi cha mkulu baada ya Bashite
 
Hawa watu wangejua ambavyo vyeo ni dhamana hakika wangekuwa wapole sana yaani.

Na kwa bahati mbaya sana wameanza madaraka wakiwa vijana sana, kitu ambacho kinawafanya watoke madarakani wakiwa vijana pia! Sioni wala sidhani kuna uhakika wakafika madarakani wakiwa na miaka 50 na zaidi. Sasa kwa kutengeneza maadui wengi kila kukicha sijui kama huwa wanawaza kesho yao wakiwa hawana madaraka huku mtaani maisha yatakuwaje.

Hivi hawa ni wababe kuliko alivyokuwa Muheshimiwa Mulongo? Yuko wapi sasa hivi? Wanafika nusu ya ubabe wa Muheshimiwa Muhongo hawa? Yuko wapi sasa hivi?

Wadogo zangu jiulizeni maisha yenu na ya familia yenu ya baadae, ubabe hauna mwenyewe huu.
Unadhani wana akili hizo mkuu?Tukisema wanawazaga kwa kutumia nanihii tutakuwa tumekosea!
Mulongo alikuwa na ubabe wake lkn sasa hivi hata hasikikii shaur zao, wacha sie tupambane na hali zao achana nao hao mkuu
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,Mrisho Gambo ameendelea kuonyesha umwamba Mkoani Arusha pale alippotumia nafasi yake ya U RC kumtimua DC wa Arumeru Alexander Mnyeti kwa madai ya kuchelewa dakika kumi kwenye kikao cha Kamati ya ulinzi na usalama .

Kikao hicho kilifanyikia katika ofisi yake Gambo alionyesha kutofurahia ujio wa Mnyeti tena akiwa amechelewa na kumwambia arudi nyumbani kwake akalale baada ya kujitetea kuwa alichelewa sababu alikesha kwenye operesheni ya kuteketeza bangi katika Kijiji cha Losinoni kilichopo Arumeru.

Kwa kipindi kirefu kumekuwepo na sintofahau ya mahusiano kati ya RC Gambo na Dc Mnyeti kiasi cha kufikia kutozungumza jambo ambalo linaelezwa kuzorotesha maendeleo katika Mkoa wa Arusha .

Baadhi wa wadau wa maendeleo wameshauri Rais aangalie Uwezekano wa kuwabadilisha maeneo yao ya kazi ili Mkoa ubaki salama.

Dc Mnyeti amekiri kuondolewa kwenye kikao kwa madai kwamba alichelewa akiwa kwenye oparesheni ya kusaka wakulima wa bangi .
aa72da73d7dabcc53c23de9ed08e3123.jpg
Bora huyu ofisi yake ipo kihalisia kuliko yule rafikiye wa Daslam.
 
Back
Top Bottom