RC Gambo amtimua DC Mnyeti baada ya kuchelewa kikao

Hawa watu wangejua ambavyo vyeo ni dhamana hakika wangekuwa wapole sana yaani.

Na kwa bahati mbaya sana wameanza madaraka wakiwa vijana sana, kitu ambacho kinawafanya watoke madarakani wakiwa vijana pia! Sioni wala sidhani kuna uhakika wakafika madarakani wakiwa na miaka 50 na zaidi. Sasa kwa kutengeneza maadui wengi kila kukicha sijui kama huwa wanawaza kesho yao wakiwa hawana madaraka huku mtaani maisha yatakuwaje.

Hivi hawa ni wababe kuliko alivyokuwa Muheshimiwa Mulongo? Yuko wapi sasa hivi? Wanafika nusu ya ubabe wa Muheshimiwa Muhongo hawa? Yuko wapi sasa hivi?

Wadogo zangu jiulizeni maisha yenu na ya familia yenu ya baadae, ubabe hauna mwenyewe huu.
 
Mkuu umeongea neno zito sana hakika
 
Umesema vyema
 
Haaa haaa Gambo tangu achepushe michango ya watoto wa ajali ya Karatu nimetokea kumdharau sana.
 
Mtu yoyote mwenyewe ubaguzi, chuki, huanza na wabaya wake. Akiisha wamaliza, huhamia kwa walio wake mwenyewe anaowapenda sana. Kama Lema hayupo, unadhani nani asakamwe kama sio DC.?.
 
Naona moderator @robbort mmefuta thread Yangu juu ya DC mnyeti kununua madiwani na hatari inayoweza kutokea mbeleni ....
Kuna threads nyingi ..kwanini hiyo tu ndio ifutwe??
 
Back
Top Bottom