Unawezakuweka barabara za lami halafu barabara za lami hizo ndizo zikawa kichocheo cha mwendokasi zaidi.Kudhibiti kunategemeana na CHANZO CHA AJALI.
Najua wengi watasema chanzo ni MWENDO KASI au UZEMBE WA DEREVA.
Wengi husahahu kwamba GARI LENYEWE na hata BARABARA pia ni vyanzo vya ajali.
Tuboreshe barabara kama tunahitaji kusafiri salama kwa magari. Lazima tuwekeze kwenye barabara za lami ZENYE VIWANGO.
Hii nchi mwanamke hathaminiki kabisa ahaa naona Rc kamuona makamu kama mkewe Nyumbani, Hapa wanawake wa Tanzania wajipime na Safari yao ya haki sawaAondolewe haraka!!
kweli mnachekesha
hivi huwa hamuoni aibu kudanganyana kila siku!!
Wewe kama nani wakutoa kauli hiyo!!
GAMBO PIGA KAZI WACHANA NA VIBENDERA
What you see is reality; everything else is superficial!Watu kutojiuliza haya maswali, imenifanya nianze kuogopa sana kama taifa tunaelekea wapi au labda tumefika wapi. Kutwa mijadala yetu ni mambo ya kitoto tu.
Mbona gambo ni karunguyeye tu na sisi hatusemi?Toeni upuuzi wenu wakufanya siasa katika kila jambo kwani mbowe ni nani mpaka ampangie mkuu wa moa chakufanya.?
We unataka upotezwe!Mkuu sijakuona kitambo sana humu, uko mzima? VUTA-NKUVUTE , kuhusu dharau za Gambo ni wazi CCM wamechukulia tukio lile ni la kisiasa, si ajabu ni kafara yao baada ya kushinda uchaguzi Mkuu.
Swali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.
Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.
Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.
Chama kina wenyewe ambao kilitusaidia kwenye biashara zetu enzi za mkwere tunakula tulivyokitumia, Nyie pigeni kelele kwa kipindi hiki cha Rais huyu, Ikifika wakati wa kampeni mambo ya pesa yakikata atarudi kwa Sisi business Person kufinance kwa masharti mazuri ya kodi,Who is lema? Who is meya? Wao walikuwa nyumbani. Wana fursa ya kuita mkutano siku yoyote hapo wakaja wananchi wakawahutubia. Wakitaka hata kesho. Ya leo acha ipite
Pole sana kwakuwa KibenderaHii nchi mwanamke hathaminiki kabisa ahaa naona Rc kamuona makamu kama mkewe Nyumbani, Hapa wanawake wa Tanzania wajipime na Safari yao ya haki sawa
Mkuu;
Nadhani huna kasoro kichwani bali ni mihemko tu inakuongoza. Unajuaje pengine hao waliokataliwa kuongea pale wangeweza kuyasema hayo?? Kwa kuwa mama Samia hakuyasema hayo basi ni haki yako kumlaumu Gambo kuwa, badala ya kushughulika na kuwaponda viongozi wa upinzani ambao walifika pale kwa tukio hili muhimu, angeshughulika na kumwomba mama Samia atoe utatuzi wa janga hili la taifa. Sio kumkatalia kiongozi wake amri tena hadharani. Mleta mada anatuonesha jinsi ambavyo nchi sasa inaongozwa na kina bashite
Kama heshima haipo nani atakaa na nani kushauriana kumaliza tatizo.Ikiwa mtunga sheria anazuiwa hata kusema.Swali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.
Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.
Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.
Ngoja tumchonganishe na Mange na Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima atakoma.
Natania tu, ila msimamo wangu upo pale pale.
Sijaongelea viongozi.Kama heshima haipo nani atakaa na nani kushauriana kumaliza tatizo.Ikiwa mtunga sheria anazuiwa hata kusema.
Kiburi cha viongozi kadhaa wa ccm ndiyo matunda haya tunayovuna.Umesahau aliyesema rushwa ni hela ya kubrashia viatu tu sasa ulitegemea nini kama siyo haya.
Semeni ukweli muwe huru.