GE2025 RC Chalamila: Vijana wachache ubungo wamejaribu kufanya vurugu ila tupo imara kuliko jana

GE2025 RC Chalamila: Vijana wachache ubungo wamejaribu kufanya vurugu ila tupo imara kuliko jana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameeleza kuwa hali ya amani na utulivu inaendelea kuimarishwa jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa vurugu kidogo zilizojaribu kutokea katika eneo la Ubungo, zimedhibitiwa


 
Hizi kauli za kujimwambafy tuko imara kuliko jana hazina mashiko!! Kwa hii movement ya watanzania kufikia hatua ya kujitokeza kwa uchache kuandamana kunawajemgea uthubutu na ujasiri taratibu. Ni muhimu kuwasikiliza wananchi nn wanataka!!
 
Back
Top Bottom