RC Chalamila kumtaja Rais wananchi wanazomea ni dalili ya nini?

Kuna dalili viongozi wengi wanajizima data au hawaelewi nini kinaendelea katikati ya jamii ya Watanzania.

Inakuwaje RC Chalamila anawahutubia watu wa Mbagala lakini alipofikia katika kutaka kutaja sifa za mheshimiwa Rais ndio anakumbana na kuzomewa na Miguno mingi hadi anagwaya?
Hiyo ni dalili ya nini?

Na jee hao wanao pita huku na kule na kuimba "mitano" tena wanawakilisha kundi gani? Maana ni wazi sio hili la aina ya watu wa Mbagala ambao ndio wengi nchi hii.

View attachment 2993561
Mbona sijaona walipozomea? Unadhani Lisu ndio atawajengea Mafuta hapo?
 
Wangeondoka wakamuacha na askari wake ingekuwa bora zaidi kuliko kuzomea maana hiyo ndio ingekuwa dharau mbaya zaidi
 
Kuna dalili viongozi wengi wanajizima data au hawaelewi nini kinaendelea katikati ya jamii ya Watanzania.

Inakuwaje RC Chalamila anawahutubia watu wa Mbagala lakini alipofikia katika kutaka kutaja sifa za mheshimiwa Rais ndio anakumbana na kuzomewa na Miguno mingi hadi anagwaya?
Hiyo ni dalili ya nini?

Na jee hao wanao pita huku na kule na kuimba "mitano" tena wanawakilisha kundi gani? Maana ni wazi sio hili la aina ya watu wa Mbagala ambao ndio wengi nchi hii.

View attachment 2993561
😂😂😂🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️Lamamayee kimeumana.
Unadhani raia mafala hawaelewi kinachoendelea!?
Wanaelewa fika,halafu uje uwaletee siasa za kijinga za kusifia sifia na unayemsifia popoma katika uendeshaji,lazima wakuhamakie.
Mfano tu umeme walisema hautakatika wala kuwa na mgao kwasababu mitambo ya JNHPP imewashwa.
Toka juzi umeme unakatwa asubuhi na kurudi usiku.
 
Wananchi wa Mbagala siku zote wanajitambua; hawakubali kulishwa matango pori. Hawa wanaojipitisha kumsifia Bi Tozo na kubandika mabango ya kumsifu nchi nzima ni chawa wake wanaonlamba mama miguu na makalio ili wapate kuishi.
Duh, makalio tena?!
 
Shida ni Wizara ya fedha kutaka wakandarasi walipe wao kwa kupokea certificate wenyewe wizara ya fedha.
Huko nyuma ilikuwa meneja wa Tanroad analipa mwenyewe.
Sasa hatujui hao makatibu wa wizara fedha wameona nini kwenye mfumo wa zamani hadi ubadilike ? Kama mameneja wameaminiwa.waletewe fedha wanazoomba walipe.
Imekuwa usumbufu mkubwa sana, kama hii miradi ilikuwa na ya mwaka jana maana yake hela ilikuwepo, sasa hivi ni shida kubwa sana inasadikiwa certificate ya 100m unalipwa 50m Dah ujinga mkubwa huu
 
Kuna dalili viongozi wengi wanajizima data au hawaelewi nini kinaendelea katikati ya jamii ya Watanzania.

Inakuwaje RC Chalamila anawahutubia watu wa Mbagala lakini alipofikia katika kutaka kutaja sifa za mheshimiwa Rais ndio anakumbana na kuzomewa na Miguno mingi hadi anagwaya?
Hiyo ni dalili ya nini?

Na jee hao wanao pita huku na kule na kuimba "mitano" tena wanawakilisha kundi gani? Maana ni wazi sio hili la aina ya watu wa Mbagala ambao ndio wengi nchi hii.

View attachment 2993561
Itabidi chama kitumie hekima kubwa sana 2025.
Vinginevyo, watatumia nguvu kubwa sana "kumpitisha" mtu wao.
 
Kuna dalili viongozi wengi wanajizima data au hawaelewi nini kinaendelea katikati ya jamii ya Watanzania.

Inakuwaje RC Chalamila anawahutubia watu wa Mbagala lakini alipofikia katika kutaka kutaja sifa za mheshimiwa Rais ndio anakumbana na kuzomewa na Miguno mingi hadi anagwaya?
Hiyo ni dalili ya nini?

Na jee hao wanao pita huku na kule na kuimba "mitano" tena wanawakilisha kundi gani? Maana ni wazi sio hili la aina ya watu wa Mbagala ambao ndio wengi nchi hii.

View attachment 2993561
Ifike Mahali mtumie neno "Serikali yenu imepokea haya matatizo yenu na itatekeleza na kutatu haya matatizo" huo ni mfano TU, Siyo Kila jambo lazima umtaje mtu Kwa jina, huo ni unafiki Halafu ni kumharibia mtu, unaona Sasa watu wamezomea VIP,Rais kakuteua wewe Mkuu wa Mkoa,Wilaya, Mkurugenzi nk, Ulisema Serikali itatekeleza Moja,mbili, tatu,watu wanaelewa kama utekelezaji huo unatokana na Maelekezo ya Mheshimiwa Rais au mamlaka hizo za juu.
Kitendo Cha kumtaja Rais Kila Kitu maana yake kuwa wewe msaidizi wake hujabuni Chochote,huna msaada wowote, hujaamua Chochote, uko pale kama sanamu.
Hebu badilikeni kidogo basi.
 
Back
Top Bottom