RC Chalamila chunga mdomo ni huruma tu imekuweka hapo

Chalamila
20230815_095437.jpg
 
Hello JF,

Natuma salamu na onyo kali na tahadhari kali na ya uhakika kwa RC wa DSM Chalamila chunga mdomo ni kawaida baada ya haya majigambo December hutafika, ukiwa kwenye nafasi hio hapo ulipo maisha ni zaidi ya hayo.

Hata nyegere huchokoza kibwege ndio aweze kupata mlo, nyuki wakali lakini nyegere awapapasa na kuwala nyuki wakali na asali yao.

DSM ni mkoa unaohusudiwa na sasa haina shaka Chalamila aanza kuvembewa.

Wakati ukuta.

Inshallah 🙏🙏🙏

Wabillah Tawfiq
Wewe ndio ulifukuza wale maofisa wa serekali!?
 
Acheni maneno yako, we sema ajirekebishe kauli sio amewekwa pale kwa huruma.

Hio huruma mbona haiku locate wewe uwekwe hata Simiyu huko
 
Chalamila anawafukuza madalali wa kwenye masoko, hataki kuwaona nje wala ndani ya masoko na aliwaamuru walejeshe pesa walizowatapeli wafanyabiashara, vita kubwa hii maana familia zitayumba kwa ndoa kuvunjika.

Basi watakuwa wame toga kwa kumtia wehu namna hiyo?!
 
Mi namuunga mkono, mdalali ni wajinga sana. Mtu unakuja na mzigo wako sokoni umeingia gharama kubwa then mtu mmoja tu tena kakaa tu hata shamba hapajui anakupangia bei ya hovyo

Halafu ndio wanaopandisha bei za bidhaa.

Hawafai hao.

Watolewe tu kwa Kweli.

Ila ajue lugha ya kuongea nao kama kiongozi.
 
Chalamila anawafukuza madalali wa kwenye masoko, hataki kuwaona nje wala ndani ya masoko na aliwaamuru walejeshe pesa walizowatapeli wafanyabiashara, vita kubwa hii maana familia zitayumba kwa ndoa kuvunjika.
Hawa jamaa wanakula pesa nyingi za bure ,wengine maisha yao ni hotel na guest ukileta mzigo hata kama una mteja wanataka upitie kwao .Yupo ok wafukuzwe tu
 
Hello JF,

Natuma salamu na onyo kali na tahadhari kali na ya uhakika kwa RC wa DSM Chalamila chunga mdomo ni kawaida baada ya haya majigambo December hutafika, ukiwa kwenye nafasi hio hapo ulipo maisha ni zaidi ya hayo.

Hata nyegere huchokoza kibwege ndio aweze kupata mlo, nyuki wakali lakini nyegere awapapasa na kuwala nyuki wakali na asali yao.

DSM ni mkoa unaohusudiwa na sasa haina shaka Chalamila aanza kuvembewa.

Wakati ukuta.

Inshallah 🙏🙏🙏

Wabillah Tawfiq
Ni wazi kashaanza kujisahau ni swals la mda tu
 
Back
Top Bottom