Ndo maana watu wanamuona kama tahira fulani. Masuala ya kelele na kero zake bado anasema ni sawa. Kwa nini hizo kelele zisumbue wasiokunywa pombe. Chalamila kumbe kweli kubwa jinga ili jamaaNaunga mkono hoja baa Zingine wauze 24 hours serikali ikusanye kodi ya kutosha
Yupo sahihi 100% kwa mtazamo wangu
Swala la kelele wakiliingiza tutaingia hadi haya makanisa ya uswahili yanayokesha.Atleast leo kaongea kitu..ila swala la kelele kwa bar zilizokaribu na makazi ya watu ni za kuangaliwa.
Watu wanywe BEER..
Watu waenjoy hakuna namnaNaunga mkono hoja baa Zingine wauze 24 hours serikali ikusanye kodi ya kutosha
Yupo sahihi 100% kwa mtazamo wangu
Kwa leo nimefuta makosa yake yote kumbe ni mzima kichwaniHapa chalamila kacheza kama pele, ataungwa sana mkono na wapiga ulabu, hata wale waliokuwa wanamsimanga.😀
Huyu anafaa sana kuwa RC wa KilimanjaroPoint wacha tu tunywe maisha yenyewe mafupi hivi jiwe tumemzika hata urais ajaufaidi vizuri.
Wacha tulewe tu maisha ni mafupi sana pesa tumeshatafuta na tunaendelea kutafuta halafu tufe tuziache ..
Kelele maana yake ulichagua mwanza kuna maeneo mengi sana yasiyo na usumbufu wa kelele
Kama Kiseke, Buswelu usagala, Nyasaka,Kiloleli, Nyamongoro na maendeo mengine mengi
Uza kwenye kelele kajenge kwenye utulivu.
Yupo sahihi 100%.
View attachment 1800253
We Chalamila sio wote walevi banaaaAisee!
Mimi ndio Chalamila tena? 🤣🤣We Chalamila sio wote walevi banaaa
Wewe na chalamila akili zenu zinafana!! ona hata ulivyoandika!!View attachment 1800234
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila, amewatakavwakazi wa mkoa huo kunywa pombe kwa kuwa inachangia kukuza uchumi wa nchi kupitia
kodi za serikali.
Chalamila ameyasema hayo jana jijini Mwanza alipozungumza na uongozi wa Mamlaka ya Mapato (TRA).
Alisema watu wakiacha kunywa
pombe maana yake mapato ya
serikali yatapungua kwa sababu
unywaji pombe unaongeza kodi
za serikali.
Kuhusu baadhi serikali ya baa kupiga kelele za muziki, Chalamila alisema hapo ndiyo mahala pake, kwa kuwa asingetegemea sehemu kama hizo ziwe na utulivu.
Aidha, alitaka TRA kukusanya
mapato ya serikali kwa “kuwafinya kidogo” wafanyabiashara wasiotaka kulipa kwa hiari.
Alisema licha ya Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza TRA kutumia busara na akili, lakini wakati mwingine lazima wawe wakali kwa wafanyabiashara wasiotaka
kulipa kwa hiari.
Kuhusu wafanyabiashara kutoa risiti halali wanapouza bidhaa zao, Chalamila alitaka TRA kusimamia hilo.
Aidha, Chalamila alisema wafanyabiashara wengi hawatoi
risiti za mashine wakati wa kuuza bidhaa zao, hatua ambayo inaikosesha mapato serikali na kuagiza TRA kuweka mkazo katika eneo hilo.
Mkuu wa huyo wa mkoa baada
ya kukabidhiwa ofisi, alianza
ziara ya kutembelea taasisi mbalimbali za serikali na kuzungumza na watumishi.