johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,082
- 164,403
Busara kwa kiongozi anapokumbwa na tuhuma nzito kama hizi za mihadarati, ni yeye kukaa pembeni na kupisha uchunguzi.Sioni sababu ya Rc Dsm na KUB kuendelea kutunishiana misuli pasi na wao kuvisaidia vyombo vya kiuchunguzi kumaliza tatizo hili.Je, wewe kama mdau wa Jf na mzalendo wa nchi hii una ushauri gani chanya kwa Rc Makonda na Kub Mbowe hususani kwa maneno yanayoendelea kusemwa dhidi yao?!