Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
hizi post za RC na DC zifutwe tu, hazina tija. Za kupeana ulaji kwa washkaji hazi-add value yoyote kwa taifa
ndiyo maana inabidi tukomae na hii katiba mpya ili kuondoa uozo wa ma-rc, ma-dc..
hizi post za RC na DC zifutwe tu, hazina tija. Za kupeana ulaji kwa washkaji hazi-add value yoyote kwa taifa
ndiyo maana inabidi tukomae na hii katiba mpya ili kuondoa uozo wa ma-rc, ma-dc..
habari hizi zilithibitishwa na meneja wa kituo. Alipoulizwa RPC alidai kuwa wao wanajukumu la kuvielekeza vyombo vya habari ili visitangaze mambo yatakayochochea uvunjifu wa amani.
ndo tatizo la tz..jitu lilikwa sijuo pishi magereza unalipa u rc linaweweseka tu nakuwehuka katika maamuzi..ndo maana watu wanawaingiza vijiti matakoni kama walivomfanya gadafi
Katika hali isiyotarajiwa leo majira ya saa 9 mkuu wa mkoa Arusha aliamuru uvamizi katika kituo cha redio ( jina sikulinasa lakini sio triple A).
Madai ni kuwa kituo hicho kilifanya mahojiano na mh. Lema na akatumia nafasi hiyo kumtukana RC. Polisi walifanya upekuzi na kusikiliza kumbukumbu za kipindi hicho na kuwahoji baadhi ya wafanyakazi kwa karibia masaa matatu. Kisha waliondoka wakidai watarudi kama watabaini kuna kosa lilitendeka.
SOURCE WAPO FM.
Mkurugenzi wa kituo hicho cha sunrise ndiye aliyefanya mahojiano na mh. g lema (Mb), siku hiyo lema alieleza mambo Mengi pamoja na kuhusu kukamatwa kwake kila mara. nakumbuka mh lema alizungumzia kuhusu mgogoro wa umeya, napia rc anataka kukuza mgogoro badala ya kutatua, hapo ndipo alipotumia neno mjinga. mwandishi alimuomba mh lema afute usemi wake huo wa kumwita rc mjinga!! mh lema akasema "rangi nyekundu acha iitwe nyekundu na nyeusi iitwe nyeusi". maoni yangu, mwandishi hakuwa na shida ila rc amtafute lema apambane naye kuliko kuongeza idadi ya maadui.
Eh,
magesa!au kwakuwa ni mwenyekiti wa kamat ya ulinz na usalama?
Itakula kwake siko wanapolo watakapoingia kazini.
WanaApolo wa siku hizi waoga wanatembea tu na ma-cruiser, wangekuwa ni wale wa zamani wanaotembea na Baja angeshasepeshwa huyo