Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,217
Yule jamaa aliyekuja kama KIOTA Arusha na kupachikwa Ukuu wa Mkoa
kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala!
Yule jamaa aliyekuja kama KIOTA Arusha na kupachikwa Ukuu wa Mkoa
Chalii mmoja aliyewahi kuwa houseboy kwa jamaa mmoja. Anafanya mambo yake kama Iddi Amin hapa Arusha....Ndio maana humjui maana hana hata CV.!!!!Tehee:coffee:
Ni yule mwehu anayekaa pale chuga akijiita RC
azomewe mpaka ahame mji
Ninatia shaka kama kweli ni Mkurya kwa namna anavyo handle issues.
kwenye hili siungi mkono...siasa zikae pembeniSafi sana wakazi wa Arusha.....Dawa yake huyo ni zomea zomea mpaka aone Arusha chungu..
Kudos to wana Apolo wa A Town kwa Kuendelea Kuonesha Demonstration kwa Mulongo.
Jana Mmemzomea tena Pale alipoonekana kwenye Viunga Vya Mount Meru Hospital
Quote from Tanzania Daima
Ni wazi sasa yy si mkuu wa mkoa bali ni mkuu wa taasisi za serikali Arusha...maana wananchi hawamtaki...huu mfumo wa kuchagulia watu kiongozi akatawale kwa mantiki ya kupeana ulaji tu haufai tena.Kudos to wana Apolo wa A Town kwa Kuendelea Kuonesha Demonstration kwa Mulongo.
Jana Mmemzomea tena Pale alipoonekana kwenye Viunga Vya Mount Meru Hospital
Quote from Tanzania Daima