Ndo kitakacho fuata...Bado hajaamuru Hospitali IFUNGWE? au polisi wakapige mabomu hospitalini? - maana akizomewa akili zake zinamtuma hivyo.
Chalii mmoja aliyewahi kuwa houseboy kwa jamaa mmoja. Anafanya mambo yake kama Iddi Amin hapa Arusha....Ndio maana humjui maana hana hata CV.!!!!Tehee:coffee:Magesa Mulongo ndio nani?
Magesa Mulongo ndio nani?
Nadhani ni kile kikundi majambazi wenzake na lema.
Magesa Mulongo ndio nani?
wala sio kashikaji bali ni kapuuzi fulanikapo kashikaji hivi kana roho ya kichawi!
Mjita yule siyo Mkurya.
Kumbe Majambazi wanajulkana na wanapeta tu!? CCM = Chama Cha Majambazi.Nadhani ni kile kikundi majambazi wenzake na lema.