MPIKUSASA
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 112
- 7
hilo halipingiki kuwa huu ndio udini ulokomaa na no way hapa si kuogopa kufa wa kuacha kujadiliana kwa kuhofia vita ni bora tukayajadil kwa pamoja ili kuleta uwepo wa pamoj, tumeanza nani achinje serikali imepata kigugumizi na kuwapa ruksu waislamu ili kuwasilimisha wakristo kwa lazima sasa wanataka kuyafanya majengo yetu ya ibada yaendeshwe kwa misingi ya imani ya uislamu hii ni hatari sana. Na kwakuwa wote tunayohaki sawa nasifa sawa za ubinadamu basi ni bora tukafa tunapigania haki usawa na heshima zetu. Kama hatutakufa sisi nani afe kwa ajili yetu?