RC Arusha azomewa Mount Meru Hospital

RC Arusha azomewa Mount Meru Hospital

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,230
Reaction score
10,201
Kudos to wana Apolo wa A Town kwa Kuendelea Kuonesha Demonstration kwa Mulongo.
Jana Mmemzomea tena Pale alipoonekana kwenye Viunga Vya Mount Meru Hospital

Quote from Tanzania Daima

“Ndugu zangu tukio limeishatokea….., ni tukio kama mengine; tutulie linafanyiwa uchunguzi na tusilihusishe tukio hilo na dini yoyote,” alisema.
Mulongo alipata wakati mgumu wakati akitoka katika Hospitali ya Mount Meru baada ya kikundi cha wananchi waliokuwepo hapo kuanza kumzomea.
 
Safi sana wakazi wa Arusha.....Dawa yake huyo ni zomea zomea mpaka aone Arusha chungu..
 
Bora wananchi waendelee hivyo kuwazomea, labda watajirekebisha!
 
Mishipa inayosafirisha aibu toka kwenye uti wa mgongo wake kwenda kwenye Ubongo kutafsiriwa ilishakufa, haonagi aibu Mjita yule!
 
Mishipa inayosafirisha aibu toka kwenye uti wa mgongo wake kwenda kwenye Ubongo kutafsiriwa ilishakufa, haonagi aibu Mkurya yule!
Ninatia shaka kama kweli ni Mkurya kwa namna anavyo handle issues.
 
Kudos to wana Apolo wa A Town kwa Kuendelea Kuonesha Demonstration kwa Mulongo.
Jana Mmemzomea tena Pale alipoonekana kwenye Viunga Vya Mount Meru Hospital

Quote from Tanzania Daima

.....ni baada ya damu yake kutokutwa salama au??

Mishipa inayosafirisha aibu toka kwenye uti wa mgongo wake kwenda kwenye Ubongo kutafsiriwa ilishakufa, haonagi aibu Mkurya yule!

.....Unajua viongozi wengine hasa ndani ya Serikali hii ni kama maiti hawanaga aibu kabsaaa....
 
hii habari si njema hata kidogo kwa bw mulongo mrongo magesa bin magumashi.
 
Mishipa inayosafirisha
aibu toka kwenye uti wa mgongo wake kwenda kwenye Ubongo kutafsiriwa
ilishakufa, haonagi aibu Mkurya yule!

Hakuna Mkurya anayeitwa Magesa, ni mtu wa Mara sawa, majina ya Magesa mara nyingi ni WAJITA.
 
...Bado hajaamuru Hospitali IFUNGWE? au polisi wakapige mabomu hospitalini? - maana akizomewa akili zake zinamtuma hivyo.
 
Nadhani ni kile kikundi majambazi wenzake na lema.
 
Isiishie zomea zomea kwake tu, bali hadi kwa mke wake, watoto wake na hata mbwa wake wanastahili kuzomewa...
 
Back
Top Bottom