Rayvanny ft. Nikki wa pili - SIRI...

Rayvanny ft. Nikki wa pili - SIRI...

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,138
Ngoma kali, imetulia. Na nimependa walivyomshirikisha kwenye video fresh jumbe ambaye ndiye mtunzi halali wa nyimbo ya siri. Enjoy the good music..
 
Mkuu mbona huu wimbo una muda...
Kwa upande wangu OG ni bora kuliko huu wa Rayvany
 
Ni kweli ni wa Muda mkuu, sema mi nauelewa kwa kweli
Mimi sijui kwa wengine ila Rayvanny alipojiunga na wcb yani nilikuwa nategemea makubwa sana kutoka kwake zaidi ya hivi anavyofanya.
Naona wcb now tz hawana mshindani kuna utam flan wa kiushindani umepotea kwenye game yani mimi ninaona kuna kitu kama kinamiss kwenye game ya mziki kwa sasa siyo kama kipindi kile diamond ametoa my number 1 yan wakati anaanza kwenda international
 
Sahihisha kidogo hapo mtunzi sio fresh Jumbe ambae makazi yake au shughuli zake zipo Japan huyu anae tokea mwisho kama baba wa bint ni husein Jumbe (mzee wa kuchechemea )ndio mtunzi wa wimbo huo.
Moja ya kazi zake ni
Maneno mengi yalisemwa juu yangu mie
Na wengine wakatangaza nimeaga dunia
Na sanduku la gharama wakanichongea
Kwa mapenzi yake jalali leo mie nachechemea
Mpakanjia njia uko wapi nachechemea
Naja taratibu mie nachechemea
 
Back
Top Bottom