Hebu tuwatazame,nani ni nani pale WCB?

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,578
Meneja ricardo momo huyu anawasimamia wasanii walio chini ya wcb
562AE170-3E62-461D-A19E-2C86BB95C348.jpeg


Diamond huyu ndio mwanzilishi wa wcb na mtu wa pili kwa hisa wasafi media
FDE94511-B6A1-481F-AF12-0FD351E34263.jpeg


Mlezi ambaye ni mwanahisa akiwa na mameneja tale hana elimu ndio maana anaitwa mr ndio
18FA8755-A361-41DB-B7DE-41D3B4A58877.jpeg


Lavalava msanii ambaye hana mafanikio ndani ya WCB kwani anaenda ist ambayo ni uber dereva akiwa yeye mwenyewe
BCBA923B-C9C9-473E-8A0A-771DE8098635.jpeg
m

Mbosso msanii ambaye ana nyimbo 10 ndani ya miez 6 ila zote hazijavuma akiwa na Raymond mwanamuziki ambaye kundini wa tofauti kabaki peke yake baada ya Mavoko kutoka
FFCF327F-BF86-4568-9BA5-058FE6693DA1.jpeg


Diwani Fella aka mzee wa kubeba mikoba akiwa meneja mjanja mjanja Salam aliyeshinikiza Kifesi na Mavoko kufukuzwa
6F6A2F74-1196-475B-977D-9599B0796203.jpeg


Zamaradi Mketema meneja vipindi na uzalishaji Wasafi media
4327C723-321F-41B6-8C5C-F8ED07C42226.jpeg


Queen Darlin first lady wa WCB huyu muziki alishaisha ila kawekwa tu mradi apate ugali maana ni ndugu na Diamondi huyu ndio alimkutanisha Mondi na Bob Junior na watanashati
E7B9636A-093E-4F39-B5D5-647B92A070AB.jpeg


Romy Jones ndugu mpambe wa Diamondi kazi yake ni kuuza sura tu
9F6B219A-E267-43F5-BF04-C6A265F301DB.jpeg


Harmonize kipenzi cha Mondi, huyu ana hisa pia Wasafi media anapendwa sababu ya uwezeshaji aliompa Mondi toka Mtwara mpaka nyota kuzidi kuwa nyeupe ndio maana mondi akaamua kwenda kulee kwao kutoa zawadi ya kujenga nyumba ya ibada
69851937-B74C-427A-ACD9-3011260D5895.jpeg

Mavazi yao yanazungumza wao ni watu wa aina gani
 
Meneja ricardo momo huyu anawasimamia wasanii walio chini ya wcbView attachment 816100 diamond huyu ndio mwanzilishi wa wcb na mtu wa pili kwa hisa wasafi mediaView attachment 816101 mlezi ambaye ni mwanahisa akiwa na mameneja tale hana elimu ndio maana anaitwa mr ndioView attachment 816102lavalava msanii ambaye hana mafanikio ndani ya wcb kwani anaenda ist ambayo ni uber dereva akiwa yeye mwenyewe View attachment 816103 mbosso msanii ambaye ananyimbo 10 ndani ya miez 6 ila zote hazijavuma akiwa na raymond mwanamuziki ambaye kundini wa tofauti kabaki pekeyake baada ya mavoko kutokaView attachment 816104 diwani fella aka mzee wa kubeba mikoba akiwa meneja mjanja mjanja salam aliyeshinikiza kifesi na mavoko kufukuzwaView attachment 816105 zamaradi mketema meneja vipindi na uzalishaji wasafi media anawatoto wengi ila baba tofautiView attachment 816106 queen doreen first lady wa wcb huyu muziki aliishaisha ila kawekwa tu mradi apate ugali maana ni ndugu zaman mondi huyu ndio alimkutanisha mondi na bob junior na watanashatiView attachment 816107 romy jones ndugu mpambe wa mondi kazi yake ni kuuza sura tuView attachment 816108 harmonize kipenzi cha mondi huyu anahisa pia wasafi media anapendwa sababu ya uwezeshaji aliompa mondi toka mtwara mpaka nyota kuzidi kuwa nyeupe ndio maana mondi akaamua kwenda kulee kwao kutoa zawadi ya kujenga nyumba ya ibadaView attachment 816109

ruge hayupo?
 
mimi babu tale simwelewagi WCB kaingiaje na anafanya role gani, na why kaisusa tip top?
Hana la maana pale zamani alikuwa anahusika na promo za ndani ya nchi ila siku hizi wanajitangaza wenyewe
Sasahivi amebakia tu mr ndio bora bora anapata senti ila hata aondoke leo hana sumu japo kila baada ya miezi 2 huenda moro kuchinja mbuzi
 
Back
Top Bottom