Raymond Kigosi bado anaigiza?

Kwasasa amekaa na guduria la maji anakunywa kwa nguvu zote azidi kuwa mweupe hapo kinondoni
 
Ila jamaa anachojitahid ni Hana skendo za kijinga jinga.Hata za kumzushia tu humkuti nazo
 
Anakelele sana kwenye movie zake. Halafu kibwagizo chake cha pumbavuuu na kile yooo cha kiba ni vya kijinga sana.
 
Leo waigizaji waliobaki ni JB, Ray Kigosi na Mhogo Mchungu....achilia mbali Masanja na Joti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…