ray........NEW LOOK

4.jpg

2.jpg
 
Last edited by a moderator:
bina kuchora achire yeye.vibaya ujisikie wewe.......

Eti ndio ucelebrity wenyewe huo bina
ha ha ha ndo mana sitaki mwanangu wala ndugu yangu awe msanii maana maisha yake halisi yanageuka kuwa usanii ptuu hivi jibaba zima kama hili linahangaika nini
 
ha ha ha ndo mana sitaki mwanangu wala ndugu yangu awe msanii maana maisha yake halisi yanageuka kuwa usanii ptuu hivi jibaba zima kama hili linahangaika nini

bina usiku mwema.........kijana wetu awe na kipaji ka
ch daimondo halafu umkataze kuimba,,,,,,no way binamu muache tu
 
A ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaa

mwungwana hii ni kweli au fotoshopu!!
 
Last edited by a moderator:
bina usiku mwema.........kijana wetu awe na kipaji ka
ch daimondo halafu umkataze kuimba,,,,,,no way binamu muache tu
sitaki kabisa bina wanapata ubinadamu wa pili tofauti na walozaliwa nao abadan sitaki ntachinja mtu walai.................................USIKU MWEMA KWAKO PIA BINA............mwaaaaaaah!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom