GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,611
- 127,998
Sema kama haijakaa poa mtoto wa kiume kumvalisha hereni..View attachment 681889
Sure mkuu japo wengine wametetea eti ni hereni za sumakuMalezi gani haya jamani mtoto mdogo tena wa kiume tayari keshatoga sikoio na kuvikwa hereni ? Ee mungu baba okoa kizazi hiki.Tunakoelekea sio kabisa.
Sema kama haijakaa poa mtoto wa kiume kumvalisha hereni..View attachment 681889
Huyu chuchu mzuri ngoja namimi nimuombe anizalie mtoto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kamuanzishia dozi ya MAJI mapema
Umevutiwa na rangiHuyu chuchu mzuri ngoja namimi nimuombe anizalie mtoto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kaliwe wacha wafanye ujinga ujinga mara paap amekuwa anakwambia baba sasa nataka kuchagua jinsia!
Kwel mkuu si unajua wasukumaUmevutiwa na rangi
Labda kama Wapare wanavyotumia picha ya samaki kula ugali.Hahaha, kumnywea chai kiaje mkuu?
Mwenyewe amewaambieni mtoto wake ni wa kiume?Mkuu mimi sina tatizo na yeye na mwanae ila nimeona tu kama haijakaa vyema mtoto wa kiume mdogo akaanza kuvishwa hereni maana mwana umleavyo ndivyo akuavyo.
Hahaha, kuchapiwa ni siri ya ndani mkuuKitoto photocopy na baba sio kitoto cha simba kimefanana na Ivan anakomaa ni cha kwake.
Mambo mengine mtu hata sijui ujibiwe vpMwenyewe amewaambieni mtoto wake ni wa kiume?
UPEO WA MZAZI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Mkuu mimi sina tatizo na yeye na mwanae ila nimeona tu kama haijakaa vyema mtoto wa kiume mdogo akaanza kuvishwa hereni maana mwana umleavyo ndivyo akuavyo.
Anamwandalia mazingia au wataalam Wa lugha wanasema jina la kitabu linasadifu yaliyomo ndani ya kitabu..Sema kama haijakaa poa mtoto wa kiume kumvalisha hereni..View attachment 681889
Mtoto huyo malaika, unamvesha hereni halafu ni mwanaume;
jamani, mwogopeni hata Mungu,
True.... he is so beautiful lil man.sio mimi,ni mtoto mwenyewe kaji classify.....ana uzuri wa mtoto wa kike japo ni wa kiume...hivyo ni beautiful boy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyewe amewaambieni mtoto wake ni wa kiume?
Hahahaha Mama Kubwa hujataka kuzunguka mbuyu....Kitoto photocopy na baba sio kitoto cha simba kimefanana na Ivan anakomaa ni cha kwake.
Aje kumuoa tiffs dangoteTrue.... he is so beautiful lil man.