donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
Sema kama haijakaa poa mtoto wa kiume kumvalisha hereni..
Mkuu mimi sina tatizo na yeye na mwanae ila nimeona tu kama haijakaa vyema mtoto wa kiume mdogo akaanza kuvishwa hereni maana mwana umleavyo ndivyo akuavyo.Umeweka picha yake na mwanae ili kumsema ama! Angalau ungesifia hata kimoja ndio utoe na mapungufu.
Kwanza mapungufu uyaonayo wewe sio kila mtu ataona ni mapungufu,cha muhimu hajamdhuru mtu.
Tuache kuingilia maisha ya watu na kulazimisha waishi tutakavyo sisi.
Yeye kaweka picha tu. Kaandika mapungufu gani? Wewe unayetetea inaelekea na wewe ndo ulivyo hivyo. Poke sanaUmeweka picha yake na mwanae ili kumsema ama! Angalau ungesifia hata kimoja ndio utoe na mapungufu.
Kwanza mapungufu uyaonayo wewe sio kila mtu ataona ni mapungufu,cha muhimu hajamdhuru mtu.
Tuache kuingilia maisha ya watu na kulazimisha waishi tutakavyo sisi.
Ndio udhungu mkuuMmh. Hii kali katoto kadogo tena ka kiume tayari wamekavisha hereni.
Sa sijui anakavunza nini?
HahahahaKumbe jamaa anamtoto nilisikiaga kuwa ray ni mchicha poli
Acha kukremu na ujue dunia inabadilika. Akivaa diamond sawa ila akivaa maskini mwenzio ndio shida.Mkuu mimi sina tatizo na yeye na mwanae ila nimeona tu kama haijakaa vyema mtoto wa kiume mdogo akaanza kuvishwa hereni maana mwana umleavyo ndivyo akuavyo.
Huyo diamond kuna siku uliona akimvalisha mwanae hereniAcha kukremu na ujue dunia inabadilika. Akivaa diamond sawa ila akivaa maskini mwenzio ndio shida.
Hahaaa. Eti udhungu.Ndio udhungu mkuu
Unadhani mtoa comment hajafahamu kuwa ni wa kiume?Wa kiume huyo
Umaskini is a state of mind, pole kwa Umaskini wako mkuuAcha kukremu na ujue dunia inabadilika. Akivaa diamond sawa ila akivaa maskini mwenzio ndio shida.
Shida mkuuhtr sn mkuu
Kamuanzishia dozi ya MAJI mapemaSafi kabsa naona wanafanana
Kwani chuchu ndio mozaa akewow! adorable lil angel...
Ila sijapenda walivyokapaka bleech, he is too young jamani daah!!
Ila hongereni sana Chuchu na Ray kwa kuleta handsome boy.
Couldn't agree more mkuuKwa uyo mtt si sahihi kumvalisha huo upuuzi better avae yeye mwnyw.
HahahahKamuanzishia dozi ya MAJI mapema