Ray C.

Naona JF inataka kugeuzwa kijiwe cha kahawa, ina maana wewe ndugu miaka yote hii kama ni shabiki wa ray c hujui background yake? Kuna blogs kibao zinaweza kukujuza hili au kama vp piga simu Clouds radio kwenye kipindi kile cha wale mach..... Cha XXL watakupa majibu...
 
Wana jf naomba kufahamishwa kama msanii Ray C ana undugu na Betty Mkwasa.Yoyote mwenye kujua ukweli kuhusu hilo atujuze.
dogo... watu wenye tabia ya kufuatafuata wengine ni wachawi....
 
Kuuliza si ujinga wahenga walisema - muulizaji hana kosa anataka kujua. ray C na Betty ni mtu na shangazi yake. Ray C kazaliwa na kaka ya Betty Mkwasa (Mh.)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom