figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,852
- 63,381
Wacha dharauwhitney houston
Namsubiri Sana Huyu mrembo
Mrembo wapi huyo ilikua zamani kwa sasa anauza nyabe hata wewe unakula mzigo,mziki sio wa kuchanganya na ungaNamsubiri Sana Huyu mrembo
JF is never boring.whitney houston
Kwa sasa[emoji12] [emoji12] Zamani nisingeweza eeh?! [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mrembo wapi huyo ilikua zamani kwa sasa anauza nyabe hata wewe unakula mzigo,mziki sio wa kuchanganya na unga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Urembo ni macho ya mtu.Wewe kweli wa bara!!..yaani huyo ajuza mla unga ndio mrembo??
kweli kabisa. urembo wa Ray C ni macho tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Urembo ni macho ya mtu.