Ray c katisha jamani anastahili pongezi hembu soma hapa : | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ray c katisha jamani anastahili pongezi hembu soma hapa :

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Money Stunna, Jan 3, 2014.

 1. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2014
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,106
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  [h=3][/h]
  [​IMG]

  Mwaka 2013 umekuwa wa mafanikio makubwa kwa Rehema Chalamila aka Ray C. Kubwa anamloshukuru Mungu ni kuokolewa kutoka kwenye maangamizi yaliyosababishwa na kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya, thanks kwa Rais Jakaya Kikwete aliyeamua kugharamikia matibabu yake. [​IMG] Baada ya matibabu hayo, muimbaji huyo wa ‘Niwe Nawe Milele’ amerejea kwenye afya yake ya kawaida na sasa yupo busy kurekodi nyimbo mpya na huenda mapema mwaka 2014 akarejea kwa kishindo. Pamoja na kupewa gari nzuri ya kutembelea, Ray C ameionyesha nyumba yaka anayoijenga na iliyokamilika kwa asilimia kubwa huku ikifanyiwa upambaji wa ndani tu. Ray C ameionesha nyumba yake kwenye Instagram kwa kuandika: Love the color of ma new house!!!! Under construction #godisgood#workhardplayhard."
   
 2. data

  data JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2014
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 15,954
  Likes Received: 5,617
  Trophy Points: 280
  naomba kujua anajishughulisha na nini kinachomuingzia kipato adi anakua na jeuri kiasi hiki...
  Ni mwanaume au?
   
 3. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2014
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,106
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Ukisoma hapo utaona ata gari amepewa. Nyumba yake aliuza ili anunue madawa.

  Kuna mtu nyuma yake
   
 4. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2014
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 6,353
  Likes Received: 5,049
  Trophy Points: 280
  kweli niamini usishindane na mwanamke kesho atahongwa noah
   
 5. mamakibunju

  mamakibunju JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2014
  Joined: Dec 28, 2013
  Messages: 1,039
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mambo ya Promoter bonger aka Yahya or Mheshimiwa fulani🙊🙊🙊🙊
   
 6. Dinazarde

  Dinazarde JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2014
  Joined: Jan 1, 2014
  Messages: 28,315
  Likes Received: 6,211
  Trophy Points: 280
  Kahongwaa tu huyo atuambie na shughuli anayofanyaa ndio hivyo anatumia fursaa
   
 7. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2014
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Hivi hata hao wahongaji nao wanamuonaga huyohuyo tu,mbona wamejaa wasichana wengi tu na staha zao lakini hawawapati..??
   
Loading...