Mbao Tanzania
Senior Member
- May 31, 2021
- 170
- 215
Umefikia hatua gani mkuu?Huwa naenda site kila ninapoishiwa na pesa mfukoni. Nikiyaangalia yale matofali, nafarijika, kisha narudi home
Mmh! Design ni nyumba ya floor 2 na basement ambayo ni car parking. Kwa jinsi nguvu yangu ilivyokuwa ndogo, sijui kama nitatoboa kabla sijastaafu 😆😀Umefikia hatua gani mkuu?
Hongera sana. Utatoboa tu mkuu. Kazi na salaMmh! Design ni nyumba ya floor 2 na basement ambayo ni car parking. Kwa jinsi nguvu yangu ilivyokuwa ndogo, sijui kama nitatoboa kabla sijastaafu
Maana yake umeshamaliza ujenzi wa kwanza. Hongera sana Mkuu.Mimi site nilikuwa ninaenda kila jioni kuangalia maendeleo na kujua kasoro, ilinisaidia sana kujua matatizo mapema kabla ujenzi haujafika mbali, ila bado kuna mambo nilijifunza ambayo nitaboreha kwenye ujenzi wa pili.
Matatizo gani mfano?Mimi site nilikuwa ninaenda kila jioni kuangalia maendeleo na kujua kasoro, ilinisaidia sana kujua matatizo mapema kabla ujenzi haujafika mbali, ila bado kuna mambo nilijifunza ambayo nitaboreha kwenye ujenzi wa pili.
Wewe unaenda lini site kuendelea na ujenzi witness?
Nachukua madini kwako...Wewe unaenda lini site kuendelea na ujenzi witness?
Mimi nilishakuwa nimeandaa madirisha yangu na milango ya nyumba nzima kabla sijaanza ujenzi, na kumpa fundi vipimo vyake, walipoanza walikosea ukubw akidogo ila sababu kila jioni ninaenda nikawa ninajua mapema tukairekebisha kabla ya kuta kuanza kupanda, hilo moja ninalokumbuka kwa haraka.
Sisi tupo hapa kujua mnaendeleaje na harakati za ujenzi. Mkitaka mbao mseme tuwauzie
Hizo Mbao unauzia wapi?Sisi tupo hapa kujua mnaendeleaje na harakati za ujenzi. Mkitaka mbao mseme tuwauzie
Tupo Ilala Dar es Salaam. Mzigo wa mbao upo kwenye eneo letu la kupaki Buguruni-Chama.Hizo Mbao unauzia wapi?
Tupe na bei elekezi.Tupo Ilala Dar es Salaam. Mzigo wa mbao upo kwenye eneo letu la kupaki Buguruni-Chama.
Unaweza kutupigia 0782425190 tuzungumze. Kama upo Dar, delivery ni bure hadi site.
Ukitupigia ukasema umetuona JamiiForums tutakupa upendeleo kwenye huduma na hata bei.
Karibu sana mkuu.
Kwanza lazima ujue mbao zetu zinatokea Mafinga na zimechemshwa na mashine ya dawa (treated).Tupe na bei elekezi.