Ratiba ya vipindi vya jioni kwa masters (Project Planning and Management)- UDSM

melanin gal

Member
Sep 8, 2016
57
22
Habarini wakuu...

Naomba msaada... Ratiba Ya vipindi vya jioni kwa masters Udsm ipo vipi (project planning and management) ? Vipindi vinaanza saa ngapi na kuisha saa ngapi, huwa vipo kila siku au siku chache?
 
Back
Top Bottom