Mfumo wa ratiba za vipindi (masomo) chakata ratiba automatically

RAINEL LIHAWA

Member
Apr 14, 2015
33
30
ANDAA RATIBA YAKO YA VIPINDI NDANI YA DAKIKA 30 TU SYSTEM INAMALIZA KILA KITU

HAKUNA KUKUNA KICHWA TENA.

System hii inafanya kazi katika level zote za elimu.
1. Primary
2. Secondary schools
3. Certificate na diploma
4. Vyuo vikuuu

NO KUGONGANISHA VIPINDI - NO KUMPUNJA AU KUMWONGEZEA VIPINDI MWALIMU.

Mfumo unakuruhusu kusajili idadi yoyote ya mikondo no limit.

Mfumo unachakata ratiba ya vipindi automatically.

System haigonganishi vipindi haijalishi idadi ya walimu ukilinganisha na idadi ya mikondo.

Mfumo unakuruhusu ku-ucommand vipindi vya hesabu vijiweke muda WA asubuhi.

Mfumo unakuruhusu extra curriculum zikae sehemu unayotaka wewe.

Mfumo unaruhusu mwalimu X asiwe na vipindi siku Fulani au muda Fulani.

Hii muandaaji anaweza ifanya Kwa Siri. Koz ikiwa known Kila mwalimu ataitaka.

Baada ya hayo yote system itakupatia automatic output zifuatazo

1. Ratiba ya jumla yenye monekano mzuri.

2. Ratiba ya Kila darasa

3. Ratiba Kwa Kila mwalimu inayoonesha SoMo analofundisha lipo saa ngapi na ni kidato gani.

4. Summary inayoonesha idadi ya vipindi Kwa Kila SoMo Kwa mujibu WA curriculum.

Na summary nyingine nyingi sana.

Angalia mfumo ulivyo hapa chini

Gharama ni 20,000 full activated no expire date. Utautumia miaka yote.

Nipo Mbeya.
Kwa Huduma hii waliliana nami Kwa simu namba

0753538043(Whatsapp ipo pia)
0739538043
Karibu sana
 
Back
Top Bottom