Bazazi
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 2,806
- 3,502
jamiif!...wewe kweli bazazi...hahahahahahahahh!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ugomvi huo kutukana watu barazani?
Unatukana huku umefunga kilemba
Tena ukiwa na tabasasmu pana
Tabasamu la kimahaba;
Mahaba ya chumbani.
Kutana basi ukiwa chumbani Bana
Bazazi ni mtu safi kabisa
Anayeishangaa ratiba ya kugegedana
Bazazi!
Bazazi ni mtu safi kabisa
Anayeishangaa ratiba ya kugegedana
Bazazi!
Last edited by a moderator: