Ratiba ya tendo la ndoa

Ratiba ya tendo la ndoa

No time table for conjugal right when you feel and when you need you must get it right away provided you are in real love with each other
 
mimi sina siku wala muda maalum wa kugegedana, hivi navyoaandika wife amenipigia simu kuwa kila mmoja atoroke kazini kwake ili tukapeane mambo ya uzazi, ndyo najiandaa kwenda sasa yeye ameshatangulia, yaani jinsi inavyokuwa "spontaneous" inakuwa ni romance ya kutosha kumlaanisha kila mtu mi nafika eneo la tukio kitu iko tayari na wife kitu yake nakuta imejiandaa, kinachobaki ni kufunga goli tu na kurudi maofisini kwetu.

safi sana!!!!
 
Haina ratiba hiyo mkuu,we piga kitu anytime kama mazingira yanaruhusu kwa raaaaha zaidi! Na utaaaamu zaid!i
 
hutakiwi kuambiwa nimechoka, kwani huwa unasema naomba? wanaume kuweni wabunifu vitendo tu vinatosha huna hata haja ya kuongea, kitu kinajiachia.
 
Heshima kwenu wadau,

Kumekuwa na migongano katika ndoa hasa kuhusu ratiba ya KUFANYANA
Hii ni kuhusu TENDO la ndoa linapaswa kufanywa mara ngapi kwa mfano kwa wifi?
Wengine huweka ratiba ya jumatatu, jumatano na ijumaa kama ndo siku ya kupiga mechi, inapotokea jumanne au jumamosi nina kiu ratiba ivunjwe au kufumiliana?
Au je linafanywa pale mmojawapo anaposikia hamu? na je kama mwenzako hajisikii kufanya TENDO?
Pale mmojawapo anapokuwan na hamu sana wakati mwenzake ni mogonjwa au ana tatizo la muda mrefu je avumilie tu kwa ajili ya kumridhisha mwenzake?
​
Karibuni kwa michango yenu ya kujenga na kuimarisha wanandoa

huko kwenye red naona km kuna matatizo ya kiuandishi, unaweza kurekebisha mkuu?
 
ratiba tena jamani? kha!!! mi naona ni suala la wawili kuridhishana/kushughulikiana pale mmoja au wote mnapokuwa na hamu ya tendo hilo...............hata km hujisikii ni vema ukavuta stimu ili umfurahishe mwenzako..sasa km usipomfurahisha wewe atafurahishwa na nani? au usaidiwe? hata iwe kila baada ya lisaa...ni kufurahishana na kuridhishana tu jamani...si mmependana?

Ni leo nasikia tena kuna ratiba ya kufurahishana. Hiyo miili yenu ikoje? Siku siendi popote hata nguo naiona mbaya mwilini mwake na kwangu pia. Mgeni simtaki kwangu, watoto wanapewa na mijihela wakafurahi huko mitaani nami nifurahi na huyu wangu. Kha, bana ngoja niende saa hii ameniita...
 
 
Last edited by a moderator:
Swali limepima uwezo wa watu kufikiri.
Ratiba muhim sana na mie ni miongoni mwa wafuata Ratiba na I planned this with my best half.
Na ndio maana wenzetu huko duniani wanatuzidi hapo.Wasiofuata ratiba wengi huwa na kawaida ya kupoteza kumbukumbu wakiwa vijana,we mstukize jambo la juzi tu,hana hata moja,na age inapokwenda ndio hali inazidi kuwa tata.

Mkuu we tupo pamoja,sio kuwa kama Fisi maji,kila wakati tu ngono,na ndio maana wasio na ratiba ikifika muda mfupi tu kila mtu anakuwa na lake na hakuna tena hamu ya tendo la ndoa ila ni mazoea ya kufanya tendo la ndoa.

We ukitaka kupima umuhim wa ratiba hembu jiulize wakati ukipangiwa siku ya kukutana na dem wako unajisikiaje.
Na ndio maana wasiofuata ratiba wengi sio waaminifu,maana huko nje akipangiwa siku basi mwili wenyewe unaji TUNE kwa siku hiyo.
Ila huko home maana unajua ndani lipo kondoo la bwana nikuvuta tu.

Ratiba una enjoy sana.

Kwangu ilivyo:
Jmosi:Siku maalum ya six by six
JPili:Ni muda wa kutathimi watoto au familia inataka nini kwa siku inayofuata ya kazi,na kupangailia kazi zangu za kuajiriwa na nilizoajiri
jtatu:Mapumziko,Siku hii hakina kama ni mfanyakazi ni siku ya mwanzo wa wiki na ina chalenge nyingi na tensions sana.Kupumzika na kutathmini,na pia kwa sie Wasilam ni suku ya kufungua Sunna kwa anaetaka
Jnne:-Mapumziko
Jtano:Six by Six
Alkhamis:Mapumziko,Pia ni sku yua kufunga Sunna kwa waislam kwa anaetaka
Ijumaa:Mapumziko:ni Siku ngum sana kikazi,maana ni kufunga wiki ili jtatu uanze fresh

Sasa unakuta siku hizo tupo huru sana,unajua sio kukakufikiria Sex tu, muda wakuacha akili itulie kimaisha ni muhim sana kiafya.ratiba kwangui it makes us ku enjoy sana and healthy.

Huo ni mtizamo wangu tu na maisha yangu wakuu.
But if you have been doing this three times a week,unamatatzio na afya yako unaimaliza,na wasi wasi wangu ni kwamba unaweza kufika 35 years huwezi kwenda hata 3 shots in normal time.


Angalizo,katika ratiba yangu ni kwamba kuna siku za dharura za kupangua ratiba but still remain on 2 times a week.

Nyumba ndogo nyingi kwanini wanamage kukamata watu wa watu awe mwanamke au mwanamume,nikwamba wanapanga siku maalum na siku hizo mtu akipangiwa anakuwa namzuka ile mbaya,na akitoka hapo mwepesiii,maana mapenzi usifanye kwa mazoea,yaani kama ukifanya hivyo ndugu zangu huna chochote unacho enjoy,ila fanya kama vile ni sehem maalum ya Faraja kwako na inawakati maalum na muda maalum.
 
Back
Top Bottom