Ratiba ya tendo la ndoa

Ratiba ya tendo la ndoa

Mvaa Tai hiyo avatar yako mie huniacha hoi kwa kucheka!!!jamaa hafiki aendeko huyo.....!!!!!!!!!!!!!!!

Navyodunda utadhani kashuka kutoka kwenye 'Veneno Roadster' (moja ya gari ghali zaidi duniani) yake.

article-2465918-18D2623900000578-989_634x418.jpg
 
Moja wapo ya sababu zinazo weza kuvunja ndoa yangu,ni pale tu My wife wangu ntakapo taka kut#mbana nae ye alete kizuizi,siwezi kukubali
 
Imeandikwa "mke hana amri juu ya mwili wake isipo kuwa mume wake vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake isipo kuwa mke wake, msinyimane isipo kuwa kama mmekubaliana kwa ajili ya kufunga na kuomba " my wife wango akiniambia geukia huku hua nikishusha mkono kwenye kifanyanio chake naona kime lowa, hii maana yake kimejiandaa kwa ajili ya kupewa haki yake halafu wewe unaminya pua lako eti leo ratiba haituruhusu Nyiooooooooooooo!!!!
 
Back
Top Bottom